Mc Gira Media

Mc Gira Media

Share

Where you get local, national and international news

11/06/2026

First red cardโ™ฆ๏ธworld cup 2026

South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ˜ฅ

08/06/2026

Former Supreme court president,MARAGA ๐Ÿ™Œ๐Ÿค”๐Ÿค”

04/06/2026

Whaat? ๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”

04/06/2026

Bursary za county 2026,Kholera ward ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

03/06/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Khalid Balala, Susan Okemo, Kenneth Wesonga, Hillary Wailer, Gaidi Mkali, Wesonga Benard, Asman Kheed, Hudheifa Dheifa, Mike Mchelsea

02/06/2026

Hivo ndivo mambo mambo yalivyo kuwa pale shibanze primary IDD TOURNAMENT Coutesey of Shibanze legends. Tuzidi kuinua vipaji mashinani๐Ÿ™๐Ÿ™ ustadh ISSA Juma, Moha Ba Sultan , Amir Hatibu ,Jafar Namatsi heko sana๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Photos from Mc Gira Media's post 02/06/2026

LOST AND FOUND!!! Ikiwa unajua familia ya huyu mtoto (mvulana ) fika kwa fundi wa pikipiki ( msee garage ) OPP Sheikh Khamis Jamia Masjid Harambee.

02/06/2026

GOOD NEWS!!!

Makunda Muslim Boys Soccer will return next year after a long and painful break. All the best boys.

Photos from Mc Gira Media's post 31/05/2026

Leo kumekuwa na michuano ya sherehe Idd almaarufu IDD TOURNAMENT ambayo mdhamini wake alikua ESHIBANZE LEGENDS. Hawa n wanafunzi wa miaka iliopitia wa shule ya msingi ya Eshibanze.

Mashabiki walijitikeza kwa wingi kushuhudia michuano hiyo ya siku moja iliyoandaliwa kwenye uga wa shule ya msingi ya Eshibanze. Ustadh Issa Juma alikua msimamizi kwa niaba ya mdhamini ambaye pia ni mmoja wa wana Eshibanze legend.

Jafar Namatsi, Moha Ba Sultan , Amir Hatibu ni miongoni mwa wageni waliofika kupamba siku hii. Wakizungumza kabla ya kutuza timu na wachezaji walioibuka bora mwenye michuano hio,walisisitiza uinuaji vipaji kwa vijana na kuapa mazingiza bora ya kuinua vipaji vyao vile vile kutafuta wadhamini zaidi wakulea talanta za vijana eneo hilo hadi vyiwango vya juu.

Lkcha ya mvua kubwa,mechi zilichezwa kulingana na ratiba huku wachezaji na mashabiki waliyojitokeza wakisifiwa kuonyesha nidhamu ya hali ya juu.

Timu nne (4) zilituzwa, Eshibanze FC ikiibuka mshindi wa michuano hio,baada ya mchuano wakusisimua dhidi ya Simba FC ilioishia Sare ya 1-1 mda wa kawaida na kumalizia kwa matuta Shibanze iikishinda 4 - 3.

Kulikuwa na tuzo la mchezaji bora (best player of the tournament ),mlinda lango bora ( best goal keeper )na mfungaji mabao mengi ( top scorer ) pia walituzwa.

โœ๏ธ @

30/05/2026

Congratulations Raja I Mumia, our correct scores prediction winner you won EPL JERSEY ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰Coutesey of Mc Gira Media . Nilitaka 4 winners,but only 1 got it right๐Ÿ‘

Want your school to be the top-listed School/college in Kakamega?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Kakamega