11/02/2026
Mkuu wa Chuo Cha Arusha Institute of Hospitality and Management (AIHM) iliyopo Sakina – Arusha, anawatangazia wahitimu wote wa Kidato cha Nne nafasi za masomo kwa intake ya mwezi Machi katika kozi zifuatazo:
✅ Tour Guiding and Travel Operations
✅ Front Office Operations
✅ Food and Beverage Sales and Services
✅ Food Production (Cookery and Bakery)
✅ Computer Programming
✅ Housekeeping and Laundry Operations
✅ Hair Dressing and Beauty
🌟 KWANINI UJIUNGE NA AIHM?
✔️ Chuo chenye usajili kamili wa serikali chini ya National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET)
📌 Namba ya Usajili: REG/NACTVET/1228
✔️ Gharama nafuu zinazolipwa kwa awamu, kumwezesha kila mwanafunzi kumudu ada
✔️ Mazingira rafiki kwa wanafunzi wa hali zote
✔️ Huduma za hostel kwa wanafunzi wa jinsia zote
✔️ Vifaa vya kutosha vya kujifunzia
✔️ Walimu wa kutosha wenye taaluma na uzoefu wa ufundishaji
✔️ Uhakika wa field na ajira – Chuo kinashirikiana na taasisi mbalimbali za kitalii hasa Zanzibar, Dar es Salaam na Serengeti
📌 SIFA ZA KUJIUNGA
Kwa kozi zote ndefu isipokuwa Hair Dressing, mwanafunzi anatakiwa awe na angalau ufaulu wa alama tatu (3) na kuendelea.
📝 UTARATIBU WA KUJIUNGA
Fomu za kujiunga zinapatikana chuoni kwa gharama ya TSH 10,000/= tu.
Tembelea chuo chetu kupata maelekezo kamili na kuchukua fomu.
📞 MAWASILIANO
Wasiliana nasi sasa kupitia:
📱 +255 658 547 794
📧 [email protected]
🌐 www.aihm.ac.tz
AIHM – Tunakuandaa kwa Ajira na Mafanikio ya Baadaye!