Sesy News $ Educational programs.

Sesy News $ Educational programs.

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sesy News $ Educational programs., Arusha.

16/06/2020

Agizo la shule kufunguliwa ifikapo jun 29/2020 limetolewa rasmi leo na Mh.John Pombe Magufuli katika hotuba iliyosomwa jijini Dodoma ikiwa ni pamoja na shughuli nyingine zilizo sitishwa kwaajili ya janga la Corona kuendelea.

Aidha wananchi wame aswa kuendelea kujikinga ili kuweza kuepuka maambukizi yasiyo yalazima.

29/02/2020

Magazetini hii leo,Story kubwa inamhusu mh Membe habari picha ikitanda kwenye kurasa za mbele za magazeti.🎤🎤🎤🎤🎤🎤

02/01/2020

Ni mwaka mwingine tena mwana sport nikujuze kuhusiana na Michuano mikali ya Kombe la mapinduzi mapema sana january hii 2020 ambapo itapigwa kwa mfumo wa mtoano.

KUNDI A"
Itazishuhudia timu ya Yanga,Azam,Mlandege na Jamhuri

Wakati KUNDI B"
Simba,Mtibwa,Chipukizi,na Zimamoto.

Ambapo januari 7 Yanga itacheza na jamhuri,Azam Fc dhidi ya Mlandege.

Timu zitakazo shinda michezo hiyo zitaingia nusu fainali kuchuana na mshindi kati ya Mtibwa dhidi ya Chipukizi na Simba dhidi ya Zimamoto.

Januari 13 itakuwa tamati ya michuano kwa mchezo wa Fainali kupigwa.

Langu jina ni Salma seph Sport Lady nilie kuletea taharifa hizi bye bye.

15/12/2019

Yajayo yana furahisha,,,ni ndani ya page hii ambapo tutajuzana mengi yanayojiri ndani na n'je ya Nchi yetu,,.Nikusihi ukumbuke ku like na ku comment karibu............................................................,,.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Arusha