01/03/2026
Tunawatakia wana familia wote wa Sila College Arusha mwezi mpya wa Machi uwe wa mafanikio, furaha na baraka tele.
Mwezi huu mpya uwe mwanzo wa mafanikio mapya, bidii zaidi katika masomo na kazi, afya njema, na mafanikio yanayoonekana katika kila juhudi mnazofanya.
Kwa wanafunzi, uwe mwezi wa kuelewa vizuri masomo na kufikia malengo yenu.
Kwa walimu na wafanyakazi, uwe mwezi wa matunda ya kazi yenu na mshikamano zaidi.
Mwenyezi Mungu awajaalie amani, upendo na mafanikio katika kila hatua ya mwezi huu wa Machi.
Kheri ya Mwezi Mpya
27/02/2026
Tunawatakia wanafunzi wetu, wadau na jamii kwa ujumla Wikendi Njema na Yenye Baraka! .
Jiunge nasi leo uanze safari yako ya mafanikio katika mazingira bora ya kujifunza
π 0768 444 858 / 0687 485 138
π www.silacollegearusha.ac.tz
π Mianzini Mataa | Kwa Mrefu (HQ)
Sila College Arusha β Elimu Bora kwa Maisha Bora!
24/02/2026
At Sila College, we believe in building champions both academically and on the field. Our students are not only focused on education but also active, competitive, and passionate about sports. Discipline in class, power on the pitch
23/02/2026
Fungua milango ya mafanikio yako leo!
Chukua hatua ya kwanza kuelekea ndoto zako kwa kujiunga na chuo kinachojali ubora wa elimu, maadili, na maandalizi ya maisha halisi ya kazi.
Katika Sila College Arusha utapata:
β
Wahadhiri wenye uzoefu na wanaojali maendeleo yako
β
Mazingira rafiki na salama ya kujifunzia
β
Kozi zenye mwelekeo wa ajira na ujuzi wa vitendo
β
Malezi ya nidhamu na maadili bora
Jifunze. Kua. Fanikiwa.
Usisubiri kesho kuanza safari ya mafanikio wiki hii iwe mwanzo wa mabadiliko yako.
π Tunapatikana Arusha, Tanzania
π Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi kuhusu udahili na kozi zinazotolewa.
Ubora wa Elimu ni Msingi wa Mafanikio.
23/02/2026
Chuo cha Sila Arusha, ni taasisi ya elimu inayolenga kutoa mafunzo bora ya kitaaluma na ujuzi wa vitendo kwa wanafunzi ili kuwaandaa kwa soko la ajira na kujiajiri.
Kupitia walimu wenye uzoefu, mitaala ya kisasa, na mazingira rafiki ya kujifunzia, chuo cha Sila kinalenga kukuza ubunifu, weledi, na maadili mema kwa kila mwanafunzi. Jiunge nasi leo ujenge kesho yako yenye mafanikio!
17/02/2026
Kuchagua chuo ni hatua muhimu katika safari ya maisha yako. Chuo bora hakikupi tu cheti, bali kinakupa msingi imara wa taaluma, mazingira bora ya kujifunza, walimu wenye uzoefu, na fursa za ajira baada ya kuhitimu.
Jiulize:
β Je, kozi ninayotaka inatolewa kwa ubora?
β Je, kuna mazingira mazuri ya kujifunza?
β Je, wahitimu wake wana nafasi nzuri kwenye soko la ajira?
Usikubali kupoteza muda na fedha mahali pasipokufaa. Fanya utafiti, uliza maswali, na chukua hatua sahihi leo kwa ajili ya kesho yako.
karibu chuo cha Sila Arusha tukusaidie kufikia malengo yako ya kitaaluma.
09/02/2026
Ewe mwanafunzi wa ECDE usipange kukosa safari hii muhimu ya Kimasomo kwenda Tanga.
06/02/2026
Pata elimu bora ya kuongoza watalii inayokupa maarifa na uzoefu wa moja kwa moja katika sekta ya utalii.
Sila College Arusha inakupa nafasi ya kujifunza kwa vitendo na kujiandaa kwa ajira au fursa za kimataifa.
Usikose nafasi hii ya kuchagua taaluma yenye mustakabali mzuri.
Wasiliana Nasi sasa
0768 444 858 / 0687 485 138
05/02/2026
UONGOZI WA CHUO UNAWAKUMBUSHA WANACHUO WOTE WA IDARA YA ECDE KUKAMILISHA MALIPO YA SAFARI YA TANGA KABLA YA TAREHE 15/02/2026.
SAFARI HII NI MUHIMU KWA WANACHUO WOTE WA IDARA HII.
Mawasiliani
0614-983008 mkuu wa idara
04/02/2026
Karibu Sila College Arusha ujifunze Computer na Graphic Design kwa vitendo na kwa ubora wa hali ya juu.
Tunatoa mafunzo yanayoendana na mahitaji ya soko la ajira, yakikupa ujuzi wa kisasa wa teknolojia na ubunifu.
Jiunge nasi leo ujijengee uwezo wa kuajiriwa au kujiajiri kwa ujasiri.
Wasiliana Nasi sasa
0768 444 858 / 0687 485 138
03/02/2026
Anza wiki yako kwa kufanya uchaguzi sahihi wa elimu na taaluma.
Chagua Sila College Arusha, chuo bora Tanzania, kwa mafunzo yenye ubora, vitendo na yanayoandaa wanafunzi kwa soko la ajira.
Hii ni nafasi yako ya kujenga maisha bora kupitia elimu sahihi.
Wasiliana Nasi sasa
0768 444 858 / 0687 485 138
01/02/2026
Happy New Month to the entire Sila College Family
May this new month bring fresh opportunities, academic excellence, good health, and shared success. Hereβs to growth, unity, and making great memories together.
Wishing everyone a productive and fulfilling month ahead!