Pamoja Tunalea Day Care and Pre School

Pamoja Tunalea Day Care and Pre School

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pamoja Tunalea Day Care and Pre School, School, peninamollel@gmail. com, Arusha.

09/09/2021

PAMOJA TUNALEA DAY CARE AND PRE SCHOOL, TUNAWAKARIBISHA WAZAZI NA WALEZI WOTE WENYE WATOTO KUANZIA UMRI WA MWAKA MMOJA NA NUSU,MPAKA MIAKA MITANO.KWA WALE WANAOSUMBULIWA NA WADADA WA KAZI,WALE AMBAO WAMETAMANI WATOTO WAO WAANZE NURSERY SCHOOL, USISITE,TULETEE MWANAO KWA MALEZI BORA,NA ELIMU YA AWALI YA VIWANGO VYA JUU SANA.TUPO MOSHONO STAND,JIRANI SANA NA SHULE YA MSINGI BARAA,MKABALA NA BARAA DISPENSARY. KARIBU SANA,HUDUMA ZETU NI NZURI NA NAFUU SANA.NJOO TUKUHUDUMIE.
TUPIGIE KWA NAMBA HIZI:
0757491294-Penina N.Mollel
0768779832-Emmanuel A.Ngosek

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Peninamollel@gmail. Com
Arusha