Edgar. Rwehumbiza

Edgar. Rwehumbiza

Share

Football, life, meme and entertainment,
Always positive and ready to change. Be happy enjoy every minute of life.

19/10/2025

updates

Licha ya Spurs kutangulia kwa goli la mapema haijawanyima Villa sababu za kuondoka na alama tatu katika mchezo wa leo.

Tottenham kachapika kwake na villa wamepata ushindi wa tano mfululizo katika miachuano yote msimu huu🤯🔥. wako 🔥

Haya sasa tusogee kwa majogoo kuna sherehe nyingine huko.

19/10/2025


Nyama kaanza hivi leo.

nini maoni yako!?

19/10/2025

K**a hujajua au umesikia sikia kwa mbaali, ni kweli bwana walimalizana huko huko.
Aya unataka nani arudi et, au watafute jitu jipya lingine lisilojulikana kabisa.

16/10/2025

16/10/2025



Shabiki wa Manchester united kuelekea mchezo wa weekend hii dhidi ya Liverpool, unakumbuka wakati gani bora wa huyu mwamba hapo chini na ilikuwa game gani twambie hapo chini.

16/10/2025

MOROCCO ON THEIR PRIME 🤯

16/10/2025

USITESWE NA MASAIBU YA JANA, LEO NI SIKU NYINGINE UNAWEZA KUANZA UPYA KWA AJILI YA KESHO ILIYO BORA KWAKO💪

Photos from Edgar. Rwehumbiza's post 15/10/2025

Umegundua nini.
Tuna EPL league pendwa duniani haoo kombe la dunia.
Lakini kuna TPL, ligi pendwa barani Afrika, wakenya mtuache kidogo..

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Makumira, 55 Usa
Arusha
BUKOBA