Mwl. Erick Kulindwa

Mwl. Erick Kulindwa

Share

Moyo uliochangamka ni dawa nzuri; Bali roho iliyopondeka huikausha mifupa. Mithali 17:22

29/11/2025

The rule is simple "don't underestimate your enemies"

24/11/2025

Afande shusha bunduki
Mwananchi shusha hasira
Mwanasiasa rudi kazini kuponya nchi

23/11/2025

aliwahi kusema "kofia haifichi ujinga wa aliyeivaa" mimi naongezea kidogo kuwa hata koti/suti au lips stick haiwezi kuficha harufu ya kinywa.

22/11/2025

1. AMANI NI ZAO LA HAKI
2. HAKI NI ZAO LA AMANI

JE TUNAWEZA KUFANYA KIMOJA TUKAACHA KINGINE KWA WAKATI HUU TULIONAO?

12/10/2025

Ukimpa nyani pesa na ndizi, atachukua ndizi na kuacha pesa kwa sababu hajui pesa inaweza kununua ndizi nyingi" Jack Ma
Lakini Mimi nadhani kwa sababu Mambo yamebadilika sana nyani wa wakati huu watachagua pesa si kwa sababu ya asili yake bali nyakati.

11/10/2025
24/08/2025

Wenyewe wanasema hakuna aliye na shughuli nyingi sana kuacha kujibu simu au jumbe zako, isipokuwa hawakuzingatii.
Ila Mungu wa mbinguni atakuinua tena na atakufanya wa muhimu kuliko mwanzo.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Arusha
Arusha