09/08/2024
Kuwa sehemu ya historia π₯, π€
Okoa Mtaa Foundation inakukaribisha kushuhudia tukio kubwa zaidi la mwaka! la kuhuisha na kustawisha utamaduni wa HipHop Tanzania .
Ungana nasi Kusherehekea sanaa ya Muziki wa Rap, Breakdance, Freestyle, Rap Comedy, na Deejaying kutoka kwa wasanii wenye vipaji vya pekee kutokea Mitaa ya jiji la Arushaπ₯.
π Tarehe: Jumapili, 25 Agosti 2024
π Muda: Saa 8 mchana - Saa 2 usiku
π Mahali: Peace Park (Round About ya Impala), Arusha
HAKUNA KIINGILIO
.
12/06/2024
ATTENTIONβΌοΈBACK2SUA 2024π₯π’ 25 AUGUSTπΆπ΅
Kwa shauku na heshima iliyotukuka tunapenda kutangaza ule mkutano wetu wenye kukutanisha mitaa yote ya Arusha na Tanzania πΉπΏ kwa ujumla kusherekea SANAA AMANI NA UPENDO NA FURAHA mwaka huu utakua Agosti 25.
Program nzima kuhusu ushiriki, nini kitakuwepo na mahali zitaanza kutangazwa hivi karibuni, usicheze mbali
04/11/2023
Okoa Mtaa Foundation extends heartfelt gratitude to all the Artists, , Friends, partners, and sponsors who made successful πβ¨
was a dynamic cultural explosion and an immersive Street Art Experience that showcased the power of creativity and collaboration.
Thank you for making it all possible! πβ€οΈ
.
04/11/2023
During the last week of October 2023, , we had a great time coordinating the "Each One Teach One" project, where 30 underground artists had the opportunity to attend a two-day workshop on creating shows and exploring creative ways of stage presentation. This insightful workshop was expertly facilitated by and
The participating artists not only gained valuable knowledge but also had the chance to showcase their newfound skills at S.U.A ( ) on Sunday, the 29th, bringing to life what they had been learning.
It was an extraordinary weekend filled with artistic energy
We extend our heartfelt gratitude to , for their support.
Video by: &
Pictures by:
23/10/2023
ππππππππβΌοΈ ππππππππβΌοΈ ππππππππβΌοΈ
Tamasha kubwa na pendwa la Mtaa linaenda kufanyika tena katika viwanja vya Peace Park (Round about ya Impala)- Arusha, Jumapili, 29 Octoba 2023, kuanzia saa 8-mchana mpaka Saa 1-jioniπ₯
Tamasha litapambwa na matukio mbalimbali ikiwemo: -
π₯ππππ πππ
π₯π
ππππππππ ππππππ (Mshindi atachukua kibunda cha shilingi Laki mbili (πππ,πππ/-πππ) papo hapo pamoja na T-shirt moja ya SUA ).
π₯*ππππ
ππππππππ ZA KUTOSHA* kutoka kwa wasanii/crews mbalimbali kutoka viunga vya mitaa ya Arushaπ₯π₯
Hii ni πππππ ππππππ―
Usikubali kukosa ππ
This is part of by
22/05/2023
Okoa Mtaa Foundation inakukaribisha tujumuike pamoja kusherehekea Tamasha la S.U.A ( ), litakalofanyika siku ya Jumapili, 28 Mei 2023, kuanzia saa Nane (8) mchana katika Uwanja cha Peace Park (Round About ya Impala). Karibu ushuhudie burudani adhimu na adimu kutoka kwa vijana wasanii wa mitaa mbalimbali ya jiji la Arusha, kuanzia mavazi, misemo, michano, Mtindo huru, elimu burudani na fursa mbalimbali za vijana katika tasnia ya sanaa.
HAKUNA KIINGILIO, WOTE MNAKARIBISHWA.
This is part of the Project by
15/05/2023
Wasanii, Washawishi wa kijamii na wanahabari wamepatiwa mafunzo ya siku mbili ya jinsi ya kutumia sanaa na ushawishi wao kueneza jumbe chanya kwenye jamii kuhusu kupambana na aina zote za ukatili, elimu ya afya ya akili, na elimu ya afya ya uzazi kwa vijana
Okoa Mtaa Foundation tunaamini Sanaa ina nguvu na uwezo wa kuifikia jamii kwa ukubwa zaidi kurekebisha na kubadilisha simulizi zote mbaya/hasi katika jamii yetu, na kusaidia kupunguza na kumaliza kabisa changamoto za magonjwa ya akili pamoja na ukatili katika jamii.
Shukrani kwa project DSW Tanzania Alliance FranΓ§aise Arusha Arusha city council Arusha District Council Kaakijanjatz
25/08/2022
...Mimi ni Nguzo ya jamii, ni kioo cha jamii, ni shujaa wa jamii, Mimi ni Warrior -