Brilliant Driving School

Brilliant Driving School

Share

Basic Driving course, PSV,V.I.P, class E, (hgv)

28/12/2025
20/10/2025

πŸ“’ TANGAZO KUTOKA BRILLIANT DRIVING SCHOOL – ARUSHA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Wanafunzi wa kozi za Abiria (PSV) na Malori (HGV) mnakumbushwa kuwa mitihani ya Intake ya Pili itafanyika tarehe 25 na 26 (Jumamosi na Jumapili).
πŸ—“οΈ Tafadhali fika bila kukosa ili kumalizia intake hii!

βœ… Vitu muhimu vya kuleta:
1️⃣ Kopya ya leseni yako
2️⃣ Kalamu na TIN namba

πŸŽ“ Brilliant Driving School pia inatoa kozi za Utalii na Udereva k**a:
πŸš— Udereva wa awali | Abiria (PSV) | Malori (HGV)
🧳 Uongozaji watalii | Waandaaji wa safari | Hotelia | Lugha za kimataifa

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa:
0762 003 011 | 0785 003 011 | 0742 500 386

17/10/2025

πŸ“’ INTAKE YA PILI INAENDELEA!
Kozi za PSV (Magari ya Abiria)* na *HGV (Magari ya Mizigo) zinaendelea Brilliant Driving School!

πŸš› Mafunzo kwa vitendo na waalimu waliobobea
πŸ“ Ofisi:Mkabala na geti la Uhuru Primary, Arusha - Metropole

Mahitaji:
1. Kopi ya leseni
2. Picha ya pasipoti (moja)
3. Malipo ya kuanzia 100,000/-

πŸ“ž Mawasiliano:
0762 003 011 | 0785 003 011 | 0756 445 322
Brilliant Driving School – Beyond Learning!

14/10/2025

Brilliant Driving School and Tourism Institute tunakutakia Maadhimisho mema ya kumuenzi Baba wa Taifa - Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Photos from Brilliant Driving School's post 09/10/2025

πŸš› Wanafunzi wa Kozi ya Malori (HGV-E) kutoka Brilliant Driving School wakiwa kwenye majaribio ya vitendo chini ya uongozi wa Afande Vehicle Instructor Mathias

πŸ’ͺ Mafunzo haya yanawaandaa madereva kuwa na ujuzi, nidhamu na uwezo wa kuendesha magari makubwa ya mizigo kwa usalama barabarani.

πŸ“ Ofisi: J.H. Sonny Borofa nne – Karibu na geti la Uhuru Primary School,
πŸ“ž 0762 003 011

02/10/2025

πŸš›πŸš *Mafunzo ya HGV-E & PSV yameanza rasmi Brilliant Driving School!*
Unataka kuwa dereva wa mabasi au malori makubwa? Fursa ni hii hapa! πŸ‘‡

Tunatoa *kozi za daraja C1, C2, C3 (PSV)* kwa wanaotaka kuendesha magari ya abiria, na *HGV-E* kwa waendeshaji wa malori makubwa ya mizigo. Mafunzo ni ya nadharia na vitendo β€” kuhakikisha unahitimu ukiwa mtaalamu wa kweli! πŸ”§πŸ›£οΈ

*Mafunzo yanaendelea... usikose nafasi yako!*
*Location:* Metropole – Mkabili na geti la Uhuru Primary, jengo la J.H. Sonny Borofe.
*Mahitaji:*
πŸ“„ Kopya ya leseni
πŸ“ Taarifa binafsi
πŸ–ΌοΈ Passport size moja

*Kwa mawasiliano:*
πŸ“ž 0762 003 011 | 0785 003 011 | 0742 500 386
πŸ“

Photos from Brilliant Driving School's post 29/09/2025

🌿 Hapa Ndipo Elimu Inakutana na Uhalisia!
Wanafunzi wa kozi ya *Tourism Management kutoka Brilliant Tourism Institute wakiendelea na mafunzo ya vitendo ndani ya mazingira halisi ya hifadhi ya Taifa.

πŸšΆβ€β™‚οΈ Nature walk k**a njia ya kujifunza kuhusu tabia ya wanyamapori, mimea ya asili, ikolojia na umuhimu wa utalii wa kiikolojia.

Hii ni fursa ya kipekee kwa wanafunzi wetu kujifunza kwa kuona, kugusa, na kuhusika moja kwa moja – tunakuandaa kuwa mtaalamu sahihi wa utalii wa kisasa.

πŸ“Ofisi zetu: Metropole – Mkabala na Uhuru Primary, Jengo la J.H. Sonny Borofe
πŸ“ž 0762 003 011 | 0785 003 011 | 0742 500 386

| | | |

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Jacaranda Street
Arusha
BOX10306,ARUSHA

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00