05/03/2020
Christian MUSIC Training Centre
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Christian MUSIC Training Centre, College & University, P. O BOX 5034, Arusha.
05/03/2020
22/04/2018
Ule wimbo tuliokuwa tunausubiri sasa unaweza kuupakua bure kabisa. Huu ni ule wimbo wa Queen Masiko, Uendao kwa jina la Maisha yangu ni kwako, ulioandaliwa na producer Vankuva kutoka studio za vanpro, jijini Dar-es-salaam. Kuwa wa kwanza kuupata na kuwa na kwanza kusambaza ujumbe huu mzuri, hii sio ya kukosa. Kuupakua bofya link hii apo chini https://www.vanprostudio.com/listen
Unaruhusiwa kushare mbaraka huu
Bwana akubariki sana
21/09/2017
Mwanafunzi wetu mpya ndani ya CHRISTIAN MUSIC TRAINING CENTRE. Bado wewe! Kwa mawasiliano 0679088205/0625617696
18/07/2017
Evening Classes!
Happy Sabbath as you enjoy listening and watching to this beautiful song from one of our student. Welcome to Christian MUSIC Training Centre
26/06/2017
LEO NI KIMITIHANI ZAIDI. Kujipima kwa mitihani ya ndani ni muhimu sana ili kujua k**a wanafunzi wanaelewa. Na hili ndilo tulifanyalo ili kujiridhisha. Ukitaka kujiunga wasiliana nasi kwa namba 0679088205/0628059659
22/06/2017
WENGINE NDIO WANAENDELEA NA MAZOEZI SASA! HATA WEWE NJOO UJIUNGE KWENYE DARASA HILI ZURI LA WAPIGA PIANO. WASILIANA NASI KWA NAMBA 0679088205/0628059659
07/06/2017
OFFER! OFFER! OFFER! OFFER! OFFER!
Piga piano ndani ya mwezi mmoja tu kupitia program yetu maalum ya HEAR & PLAY CRUSH PROGRAM kwa gharama ya Tsh 150,000 tu na kwa muda wa siku 30 utakuwa na uwezo wa kupiga Piano bila shida. Huhitaji kujua kusoma noten! Wahi sasa nafasi ni chache. Tunapatikana Ukonga Magereza katika kanisa la Waadventista wa Sabato. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0628 059 659 AU 0679088205
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Culinary Team
Attire
Telephone
Website
Address
Arusha
255