05/09/2022
: Waziri wa Mambo ya Nje, Ali Sabry amesema Muswada wa marekebisho ya unaopunguza Mamlaka ya Rais unatarajiwa kuwa Sheria katika wiki chache zijazo
Muswada huo unatajwa kurejesha Utawala shirikishi Nchini humo
Soma https://jamii.app/KatibaSriLanka
05/09/2022
TANGA: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Khalfani Magani ametakiwa kujieleza kwa madai ya kuficha fedha za ufadhili wa ujenzi wa Sekondari ya Mgwashi
> Anadaiwa kutotoa taarifa ya kupatikana ufadhili wa Tsh. Milioni 100
Soma https://jamii.app/DEDKorogwe
05/09/2022
LHRC yafungua shauri kupinga tozo, Serikali yapewa siku 14
Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu (LHRC), kimefungua shauri la kupinga tozo za miamala ya kielektroniki, Mahak**a Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na...
05/09/2022
Globally, nearly 1 in 6 deaths are due to cancer. The good news is that 40% of them are preventable.
From making healthy lifestyle choices to getting regular screenings, World Health Organization (WHO) has prevention tips and more facts about cancer. https://www.who.int/news-room/fact-sheets/detail/cancer
05/09/2022
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu Wateja wake wa malipo ya awali (LUKU) kuwa kutakuwa na matengenezo kinga kwenye kanzi data ya mfumo wa manunuzi ya umeme (LUKU) kwa siku nne kuanzia Jumatatu September 12 hadi September 15,2022.
Wateja wataweza kununua umeme wakati wote isipokuwa wakati wa matengenezo kwa vipindi vifupi nyakati za usiku k**a inavyoonekana kwenye jedwali (ukiswipe).
“Shirika linawashauri Wateja kununua umeme wa ziada au kufanya manunuzi ya umeme nje ya muda uliotajwa ili kuepuka usumbufu” ——— imeeleza taarifa ya TANESCO.
05/09/2022
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho hakitashiriki Uchaguzi wa kuwapata Wabunge watakaoiwakilisha Tanzania ktk Bunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashiriki
> Hii ni kutokana na chama hicho kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2020
Soma - https://jamii.app/CDMEala
05/09/2022
The are our blueprint to achieve a better and more sustainable world.
From taking to ending poverty and hunger, the world's "to-do list" can transform our future. https://www.un.org/sustainabledevelopment/
05/09/2022
: Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative amemtangaza kuwa Waziri Mkuu mpya baada ya kupata Kura zaidi ya 80,000
> Truss anachukua nafasi ya aliyejiuzulu
Soma - https://jamii.app/TrussPM
05/09/2022
Sexual health requires a positive & respectful approach to sexuality & sexual relationships and is fundamental to the overall health & well-being of individuals, couples & families.
Sunday is World Sexual Health Day.
05/09/2022
It's no longer enough to reform education.
It's time to transform education.
This month, world leaders will meet at UNHQ for the summit, and the message young people have for them is clear:
Education is my right.
www.un.org/sustainabledevelopment/blog/2022/08/united-nations-partners-roll-out-letmelearn-campaign-ahead-of-education-summit/