Lise Pre & Primary School

Lise Pre & Primary School

Share

The best school in the whole world. Welcome to Lise Lise Pre & Primary School

27/08/2025

Lise Staffs with Minister Gwajima

22/03/2025

Eagle Lise Bo

Photos from Lise Pre & Primary School's post 06/03/2025

Lise Kibaha katika maonyesho ya siku ya wanawake duniani Kibaha Mall

Photos from Lise Pre & Primary School's post 25/02/2025
21/11/2024

On tournament

Photos from Lise Pre & Primary School's post 12/09/2024

Before............After......

1st term Jan 2013 18/11/2023

Eti hapa tuna ma injinia wawili...Maisha yanaenda mbio sana

15/09/2019

C&P

Wiki hii wanafunzi wa darasa la saba wamemaliza mitihani yao mwisho. Hongereni watoto wote na pia wazazi na walimu. Hongera kubwa kwa jamii yote iliyowapa nafasi watoto kusoma kwa utulivu.
Wazazi wengi watakuwa busy kutafuta shule zenye majina makubwa na zenye ufaulu mkubwa. Ni jambo jema sana. Lakini ningependa pia wazazi wenzangu mjue mambo machache:
1. Shule nyingi zenye majina makubwa zinafanya usahili kwa ajili ya kuchukua very smart and talented kids. Yani wale wenye akili . Hivyo k**a mtoto wako ana akili snaa. Ni sehemu sahihi kumpelekeka.
2. Kwa kuwa wanachukua very smart pupils, na wanataka kushindana, mbio zao ni kumaliza syllabus mapema, unakuta mwezi wa nne syllabus ya mwaka mzima imeisha. Wanaanza marudio ya papers etc. kwa mtoto avarage au mwenye uwezo wa kawaida hapa ndio anapata shida na confusion . Hawezi kaenda na speed hizi.
3. Zipo shule za kawaida, wanachukua watoto wa kawaida kabisa. Wana wafundisha taratibu pamoja na maswali. Wanatumia muda mrefu kumaliza syllabus lakini inawawezesha watoto kuelewa na kuvishika vyema.

Mwisho wa Mwaka wote wanakuwa wamemaliza sylabus na wote wanapata A au B. Shule inayowapeleka watoto taratibu na kwa kufuata sylabus pia zina tabia ya kuwabeba wasiojiweza mpaka mwisho, kwa kuwa fahari yao ni kufundisha na kubadili, shule zenu hizi zinazochuja watoto kila muhura fahari yao kubwa ni kushindana. Kuitwa wa kwanza.

Kwao kuwa wakwanza ni kuwashindilia watoto material kwa haraka na kuwafanyisha maswali mengi. Na matokeo yake watoto wengi wa shule hizi wakihama au kwenda vyuoni unawakuta wanakuwa wa kawaida sana. Na wengi wanakosa GPA nzuri. Kwa kuwa kufundisha watoto kwa ajili hii ya fasta ni nzuri kwa mitihani ya hapo kwa hapo lakini haijawahi kuwa bora kwa kubakiza maarifa ya muda mrefu na ukuaji wa akili.

Nchi za ulaya ziliacha siku nyingi sna kushindilia watoto sylabus ya Mwaka mmoja kwa miezi mitatu. Kwa kuwa haijawahi kuwadanyA watoto kuwa bora zaidi ya kuwapa msongo wa mawazo.

Kumbuka maisha bora kabisa unayoweza kuishi duniani ni ya utoto. Watoto wapewe nafasi ya kusoma, kucheza na kufurahi. Wafundishwe na kucheza kwa kiasi.

Kwa Wazazi walioko tayri kuanza kuambiwa Mwezi March kuwa mtoto wako atarudia au mtafutie shule nyingine, basi ndio hizo shule za kushindana. March ni miezi miwili toka mtoto kaanza kufundishwa, kuna miezi nane mbele. Kwa nini mtoto hawezi, au walimu ndio hawawezi kwa kuwa hawako tayari kufundisha Bali wanataka kushindana.
Wazazi tafuteni shule bora na sio shule za kwanza, ukwanza wao ni kuwarudisha home wasioweza kusoma kwa haraka na kubakia na wanaoweza kushindana. Usikubali kumfanya mwanao aamini hawezi wakati anaweza.
Nawatakia Wazazi wote selection njema ya shule za watoto wetu.

Photos from Lise Pre & Primary School's post 13/07/2019

The Best School in Arusha City, After my kids performing wonder in the Interschool Mock of schools on more than 19cities of Tanzania and got the medals.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Sakina Street, P O Box 7280
Arusha
255