14/12/2024
Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikualike mzazi, kijana ndugu na jamaa. Wasiliana nasi Kisongo Training zamani Kisongo teachers kwa programu za ICT na UALIMU
HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA
25/10/2022
It is Kisongo Teachers College Only, where you can enjoy studies at affordable price
03/06/2022
Welcome back again our special visitors
Kisongo T.c is the best for you, and others when reach Tanzania
19/03/2022
Hellow!
Kwa wanazuini Kuna maswali ambayo tunatakiwa kujiuliza
1: Kwa Nini u nasoma?
2: Kwa Nini kutumia muda ambao takriba ni nusu ya muda wa maisha katika kusoma?
3: Kwa Nini kuwekeza kiasi kikubwa Cha pesa kwenye Elimu?
4: Kwa nini jamii inawaamini zaidi watu walioenda shule?
Kila mtu Ana sababu au majibu yake, lakini Mimi najaribu kukupa mtazamo wangu juu ya maswali haya
1: Kusoma ni kuondoa ujinga, ni kujikomboa na umaskini wa fikra, ni kustaarabika na kuwa mtu ambaye anaweza kuishi katika mazingira yote hasa Yale ambayo mtu ambaye hajasoma hawezi kuyamudu(Mazingira magumu)
2: Tunatumia muda mwingi Kusoma ili kujiandaa na maisha yaliyo mbele yetu katika kutatua changamoto zitakazotukabili na kufanya mazingira rafiki ya maisha ya binadam, wanyama na viumbe wengine wasio na utashi
3: Mtu yeyote anayewekeza ni kwa ajili ya kusaidia yeye kupata faida ya kiuchumi au ya kijamii, hivyo Basi tunategemea uwekezaji katika Elimu ulete mapinduzi makubwa kwenye uchumi wa mhusika na jamii kwa ujumla, lakini kubwa zaidi unasoma ili kusaidia maisha ya kijamii kwenda sawa, mfano kuusimamia ukweli, kulinda maadili n.k. ukiangalia maisha ya viongozi wengi yamejaa uoga na ukosefu wa maadili huku wakigubikwa na ulafi wa maslahi binafsi na uoga wa kusimamia ukweli kwa sababu ya kujipendekeza. Elimu inapingana na hili.
4: Sifa ya Elimu ni kulainisha Mambo magumu kuwa laini, Sasa K**a una Elimu tunatarajia huo uwezo unao, na ndio maana waliosoma wanaaminika. Sasa K**a umesoma na huaminiki katika kusaidia watu maana yake huna Elimu inayostahili au K**a kweli unayo Basi ni ya magumashi.
NB; KARIBU KISONGO TEACHERS' COLLEGE UPATE ELIMU INAYOENDANA NA UHALISIA WA MAISHA
29/01/2022
BY
MWL. REMI KIJUU
SOMA MPAKA MWISHO
Furaha ya mwalimu siku zote ni kuona mafanikio ya mwanafunzi wake.
1: Fanikio la kwanza la mwanafunzi ni kufaulu mtihani wa kuandika kwa kalamu darasani, hili ni fanikio kubwa kwani ni K**a mtu anayewaza kujenga nyumba nzuri na imara huwa anaanza kwa kuwaza kuusimika msingi imara na akishafanikiwa Basi huko mbele huenda akiwa na ujasiri mkubwa
2: Fanikio la pili ni pale anapokuwa amefanikiwa kupata kipato kwa kujiajiri au kuajiriwa. Vuta Picha umefundisha wanafunzi 100 afu Kati ya hao unasikia habari wote wanakipato na wote wanaendelea vizuri. Has tabasamu la mwalimu huwa zuri na lisilo na mfano
Ukiangalia Picha hapo chini utagundua kuwa wakufunzi wa Chuo Cha Ualimu Kisongo hawatabasamu kinafki yaani Ile ya kuambiwa na mpiga Picha CHEKA BASI.
Hiyo ndiyo maana halisi ya kufurahia mafanikio ya mwanafunzi.
Kwa hiyo tunaposema Chuo chetu kinatoa Elimu ya uhakika kwa viwango vya zaidi ya mtaala tunamaanisha. Huna haha ya kuwaza nikimaliza naenda wap wewe kazi yako ni kuingia chuoni na kufuata maelekezo ya wakufunzi baada ya hapo itakuwa kazi yako kuamua ujiajiri au uajiriwe
TUNAWAUNGANISHA WAHITIMU WETU NA AJIRA WAKIWA BADO CHUONI PIA TUNAWASAIDIA KUENDELEA NA ELIMU YA JUU ZAIDI KWA WANAOHITAJI
TUNAPOKEA WANAFUNZI KWA AWAMU TATU KILA MWAKA
JANUARI - FEBRUARI
APRIL na
AUGUST - SEPTEMBER
Karibu tukuhudumie karibu tukutibu kwa Elimu ya uhakika
03/01/2022
Happy new year 2022!!!
Kisongo Teachers College tunakutakia mafanikio mema katika mwaka huu mpya 2022.
Ewe kijana, Ewe Baba, Ewe Mama, Ewe kaka, Ewe Dada. Njoo au mlete mwanao au ndugu yako apate Elimu ya Ualimu.
Ajira za uhakika, kbla hajamaliza Chuo Ana uhakika wa kuajiriwa
31/08/2021
We do what we like,we like what we do. We train, we raise and develop talents, we network our customers to various opportunities. We are the best in town