The Arusha East African Training Institute

The Arusha East African Training Institute

Share

Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji wa Redio na TV pamoja na International Relation.

26/10/2024

Hongera sana noel Ibrahim kwa hatua Kubwa hii ulio fikia jitihada heshima vitakupandisha zaidi hauna muda mrefu kwenye Tasnia ila mafanikio ni makubwa sana 🙏

06/11/2022

BREAKING: NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWANI BUKOBA

Ndege hiyo imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022
-
Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani wakati ikijaribu kutua; uokoaji wa abiria unaendelea na Kwa mujibu wa mashuhuda, hali ya hewa ilikuwa mbaya huku kukiwa na mvua na ukungu uwanjani hapo.

07/10/2022
06/09/2022

Moja kati ya studio Bora 🔥
Zinapatikana ndani ya chuo chetu ❣️😍

Mlete mwanao

12/07/2022

😂😂 ETI KIREFU CHA SMS NDIO HICHI KWELI



15/09/2021

Tunawaalika kwenye Talent show ya mwezi huu tarehe 24/09/2021

22/07/2021

Tunakuombea kwa Mungu upumzike kwa Amani, sote ni mavumbi na mavumbini tutarejea

21/07/2021

Tunapenda kuwatakia sikukuu njema na pia nafasi za masomo kwa muhula mpya bado zipo fika chuoni maeneo ya Philips Arusha au tupigie simu kwa namba 0754 494 316 au 0715 494 316.

08/07/2021

Hakika tunaendelea kupata pongezi nyingi za wanafunzi wetu kufanya vizuri katika kila maeneo walipo na hii inatokana na ubora wa chuo chetu, karibu sasa ujiunge nasi tupigie simu namba 0715 494 316 au 0754 494 316

01/07/2021

Usajili wa July intake umeanza kwa kozi ya Uandishi wa Habari na Utangzaji pamoja na Mahusiano ya kimataifa, fomu zinapatika chuoni Philips au tembelea katika tovuti yetu.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Philips
Arusha