Uchumi viwanda unatakuwa na tija zaidi pale viwanda vya nyumbani vitakapotumia malighafi inayopatikana hapa hapa nchini.Mfano mzuri ni madini ya chuma yanayopatikana kwa wingi mchuchuma na Liganga.Hivyo nivizuri serikali kuanzisha viwanda vitakavyozalisha chuma.Mradi wa reli ya kati ya standard gauge (SRG) unakadiriwa kutumia malighafi chuma asilimi 55 (55% iron as raw material for construction of railwayline).Ni vema tukaona rasimali zilizopo nchini zinatumika kufanikisha miradi mikubwa ya maendeleo katika taifa letu kwani kwakufanya hivyo serikali itakuwa imetengeneza nafasi kubwa za ajira kwa vijana wengi nchi nakupunguza wimbi la ukosefu wa ajira.
The University of Dodoma Economists Association
MG company Limited was established 2016 for the purpose of marketing,business development and sharing business idea world wide
The University of Dodoma Economist association wish everyone marry Christmas and happy new year 2018.We advice to use scarce resources like money minimally this season of the end of the year.
Uchumi wa viwanda utafanikiwa ikiwa wataalamu wa maswala ya kiuchumi kutoka UDOM watatumika vizuri.
The following are the purpose of our association.
-To promote students academically,theoretically and practically.
-To help students in undertaking various Economic researches.
-To embrace the Economics knowledge.
-To promote critical,analytical and practical Economists within and outside UDOM
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Arusha