Fula Academic Hub

Fula Academic Hub

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fula Academic Hub, Education, dar es salaam, Dar es Salaam.

FULA ACADEMIC HUB
Kituo cha elimu chenye viwango vya juu kinachotoa mafunzo bora kwa njia ya mtandao na ana kwa ana.
πŸ“˜ Elimu ya Msingi na Sekondari
🌐 Mafunzo kupitia WhatsApp
🏫 Tuition ya ana kwa ana inapatikana
πŸ“ Temeke, Dar es Salaam
🎯 Elimu popote

06/02/2026
06/02/2026

πŸ’₯Karibu ujiunge na darasa Bora na ujifunze mada Bora za Hisabati(mathematics)
βœ…Tunafundisha kupitia magroup ya Whatsapp na wanafunzi waliopo karibu mnakaribishwa darasani kwetu

29/01/2026

πŸ“šπŸ”₯ FULA ACADEMIC HUB πŸ”₯πŸ“š
Masomo yamepamba moto kupitia WhatsApp & YouTube
πŸŽ₯ Clips fupi β€’ Uelewa wa haraka β€’ Matokeo bora
βœ… Mixed Languages
πŸ‘‰ English Medium
πŸ‘‰ Swahili Medium
➑️ Kila mtoto anaelewa kulingana na lugha ya shule yake
πŸŽ“ Primary & Secondary
πŸ“˜ Notes za Secondary zipo CONNECTED moja kwa moja
πŸ“ˆ Ufundishaji wa kisasa, rahisi na wenye matokeo
⏰ Usiache nafasi ipite β€” jiunge sasa, hujachelewa!
πŸ“² FULA ACADEMIC HUB
Elimu ya leo, mafanikio ya kesho πŸš€
https://whatsapp.com/channel/0029Vb6r4YMDZ4Lay2jDoS3s

27/01/2026

🌟 Karibu kwenye Fula Academic Hub! 🌟
Mdau wa ELIM, tunakukaribisha kwa moyo wote! ❀️
Hapa mtoto wako ataunganishwa kwenye group la darasa husika na kupata:
πŸ“˜ Vipindi 10 kwa mwezi
πŸŽ₯ Video clips 10
πŸ“„ PDF za maswali na mazoezi
πŸ“ Tuma jina la mtoto na darasa (Class 3–7 & Secondary Kidato 1–4).
πŸ“Œ Darasa la Kwanza na la Pili: utaratibu maalum utatolewa hivi karibuni.
Karibu sana tushirikiane kuinua ufaulu wa mtoto wako! πŸ“šβœ¨

26/01/2026

Karibu Fula Academic Hub kwa elimu bora ,kwa lugha ya Kiingereza na kiswahili kwa kufuata mtaala mpya wa TIE tunaongeza uelewa wa mtoto kwa yale aliyosoma shuleni ,hakika hutajutia mzazi/mlezi jali kesho ya watoto wetu kwa kujiunga nasi..

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam