Fursa

Fursa

Share

Kuna ombwe kubwa kati ya maarifa anayopata mtu na jinsi ya kuyatumia katika kutatua changamoto mbalimbali katika maisha ya kila siku.

Kwa kutumia uzoefu wa miaka 10 katika ujasiriamali tunaamini kwamba tunaweza kuchangia katika kuwapa vijana wa Tanzania fursa ya kujitathimini, kuchukua hatua, na kujenga Tanzania imara kiuchumi. Kijana anayemaliza elimu msingi, elimu ya sekondari, au elimu ya juu anakuwa hana elimu mbadala kumsaidia kutumia kile alichojifunza kutatua changamoto zinazomkabili. Changamoto ya ukosefu wa ajira rasmi

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

P. O. Box 62220 Ubungo
Dar Es Salaam
16103

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00