Unitalentshow

Unitalentshow

Share

Hii ni Page ya Mashindano ya Unitalent Show ambayo lengo kuu ni kuibua Vipaji Vyuoni

0759137870

22/12/2025

Congratulations

Tunajivunia wewe tokea Ulipofanikiwa kupita Kwenye Stage kubwa ya unitalent uliendelea kuonesha Bidii na Kujituma zaidi, Kubwa zaidi umeendelea kuvuna Tuzo mbalimbali kubwa ikiwemo hii ya Best Upcoming Artist kutoka

Kuona kazi zake zaidi follow

18/12/2025

Congratulations

Baada ya Kushinda msimu wa Tatu akiwa na kundi la bado ameendelea kupambana na kupiga hatua kubwa sana kwenye Tasnia ya Dance ikiwemo Kushinda Tuzo za Usiku wa Jana

Ila pia amefanikiwa kuwa na Dance Class hivyo kwa yeyote anayetamani kukua kwenye Dance basi unaweza follow page yake

15/11/2025

TUNATOKAJE HAPA

CC

06/11/2025

Rest Easy Soldiers🇹🇿
Daima Mioyoni Mwetu

Photos from Unitalentshow's post 02/12/2023
Photos from Unitalentshow's post 02/12/2023

Judge kipenzi cha wanavyuo tayari amewasili hapa MAKUMBUSHO YA TAIFA POSTA kwaajili ya ku select cream talents za kuchukua ndani ya Unitalent show!

K**a wewe ni mwanchuo na una kipani chochote Sogea hapa MAKUMBUSHO YA TAIFA POSTA kwa ajili ya usaili.

Kumbuka Fomu za unitalent ni BUREEEEEEEEE

MUA and Outfit by

Photos from Unitalentshow's post 02/12/2023

Unitalent show season 5 auditions


Tayari le patron yupo ndani ya mjengo

📍 MAKUMBUSHO YA TAIFA POSTA

01/12/2023

Taarifa Kwa Umma✍️

Jumamosi Hii tutafanya Auditions za mwisho kabisa Kwa Vyuo vya Dar es Salaam

K**a wewe ni Mwanachuo kutoka Chuo chochote kutoka Dar es Salaam basi tukutane Makumbusho ya Taifa Posta kuanzia Saa Tatu Asubuhi

Kumbuka Kushiriki Mashindano haya ni Bure kabisaaaaaaaa

30/11/2023

Je Una kipaji Chochote?

Unitalent Show ni platform Pekee ambayo tunaibua Vipaji mbalimbali Kwa Wanavyuo

Endelea kusogea muda huu

Photos from Unitalentshow's post 30/11/2023

Vyuo Vimeitika

Endelea kusogea Ili uwe miongoni mwa Wanavyuo watakaoweza kuonesha Vipaji

Photos from Unitalentshow's post 30/11/2023

Usahili unaendelea Sogea

Wanavyuo mbalimbali kutoka Vyuo vya Pwani ya Bagamoyo wanaendelea kujitokeza Kwa Wingi ili waweze kuonesha Vipaji Vyao

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Makumbusho, Akachube Road
Dar Es Salaam