viwanja_nyumba_apartment

viwanja_nyumba_apartment

Share

TUNAKUSAIDIA KUMILIKI VIWANJA NA NYUMBA SEHEMU NZURI KISHERIA.

28/01/2026

Professional 📷

27/01/2026

📷

27/01/2026

Una event na unahitaji kutunza kukumbuka za Event?
tupo kwa ajili hiyo.

MBINU ZA KUPATA WAZO SAHIHI LA BIASHARA. Nifanye Biashara gani? Kelvin Kibenje 14/08/2023

MBINU ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA.
Pia nimeelezea Biashara mbalimbali Unazoweza kufanya kulingana na eneo ulilopo. Bonyeza link 👇 kutazama full video.
Niachie maoni yako kwenye comments.

MBINU ZA KUPATA WAZO SAHIHI LA BIASHARA. Nifanye Biashara gani? Kelvin Kibenje Kupata wazo Sahihi la biashara Imekua ni changamoto ya watu wengi sana. Hapa nimekuwekea mbinu unazoweza kuzitumia kupata wazo sahihi la biashara.

NAMNA YA KUVUNJA LAANA ULIZOPEWA 27/07/2023

Unaamini kwenye laana? Kwamba ukilaaniwa huwezi kuivunja hiyo laana?

Eti kwakua Mama alikulaani baasi hutakuja kufanikiwa?

Nikwambie kitu, Laana ni maneno ambayo yanaambatana na imani. Ukiamini pia itakusumbua na itakupunguzia nguvu.

Ulimwengu wa roho una Mambo mengi, lakini moja ya siraha inayotumika ni maneno, Kutamka ndio maana hata Waganga na wachawi hawawezi kufanya mambo yao bila kutamka.

Sawa wewe walikutamkia mabaya. Je wewe umejitamkia mazuri?

Kila siku kumbuka kujitamkia, mazuri, kumbuka kujitabiria mazuri.

Maneno yanaumba, Tumia maneno yako kujiumbia mazuri.

Tembelea YouTube yangu kutazama full video Juu ya NAMNA YA KUKATAA NA KUVUNJA LAANA

https://youtu.be/5BAGloMnCEM

Bonyeza link hiyo 👆

Wewe unajitamkia nini?

NAMNA YA KUVUNJA LAANA ULIZOPEWA Unaamini kwenye laana? Kwamba ukilaaniwa huwezi kuivunja hiyo laana?.Eti kwakua Mama alikulaani baasi hutakuja kufanikiwa?.Nikwambie kitu, Laana ni maneno am...

16/07/2023

Sehemu ambayo VIJANA wengi tumeisahau na inaweza kutuingizia vipato vya uhakika ni YouTube.
Tumewaachia wasanii tu, kumbe hata wewe unaweza Tengeneza content za Mapishi, Afya, design, urembo, ufundi, Biashara, maisha nk na baada ya muda ukaanza kutengeneza fedha.
Kufungua channel ni bure. Content ni hicho unachokijua.

Pia usifikirie sana malipo ya matangazo unapoanza kupost contents youtube maana utaona unahangaikia safari ambayo huifikii...

Kupitia youTube unaweza kuuza bidhaa na huduma zako kwa urahisi kuliko platform yoyote ile.... Maana kule watu wenye uhitaji wanatafuta may be ulichonacho wewe Ili watatue matatizo yao(YouTube ni search engine)... Hivyo hata kiwe kina gharama kubwa kiasi gani hawaoni shida kukigharamia na kukinunua

Mitandao mingine wewe ndio unatafuta wahitaji na kuwaforce ili wanunue.


https://youtu.be/3Bzet_Xjopc

Photos from viwanja_nyumba_apartment's post 16/11/2022

KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO KIMARA STOP OVER

KIWANJA KIPO UMBALI WA MITER 👉 500

KUTOKA MORO ROAD

KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 👉 1800

BEI NI MIL 👉 35

HII NI SAWA NA BULE KABISA

HAPO WAWEZA KUJENGA ARPATIMENT NYUMBA YA MAKAZI NA MINGINE MENGI

KARIBU 0762815104

Photos from viwanja_nyumba_apartment's post 28/10/2022

NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MBEZI MAKABE

NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE DAINING JIKO CHUMBA MASTER

BEI MIL 👉 30

KARIBU Mteja 0762815104

Photos from viwanja_nyumba_apartment's post 27/10/2022

NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MAGOMENI KAGERA

NYUMBA NI YA PANDE MBILI PANDE YA KWANZA NI VYUMBA V3 SEBULE JIKO CHUMBA MASTER PUBLIC

NA PANDE YA PILI INA VYUMBA V3 SEBULE JIKO LA NJE NA PUBLC CHUMBA MASTER

ENEO NI SQM 👉450

BEI MIL 👉 300

NYUMBA IPO JILANI NA MORO ROAD
KARIBU 0762815104

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
OOOO