Uscf St Joseph university in Tanzania

Uscf St Joseph university in Tanzania

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Uscf St Joseph university in Tanzania, College & University, Dar es Salaam.

31/01/2025

JOSEPH’s dreams made sense after lots of years…
Keep PRAYING
Keep WORKING
Keep building SYSTEMS

Isaih 60:22 says
“A little one shall become a thousand, And a small one a strong nation. I, the Lord, will hasten it in its time.””
‭‭Isaiah‬ ‭60‬:‭22‬ ‭NKJV‬‬

—— TUKUTANE JUMAPILI TAR 02/02/2025


01/01/2025

Isaya 60:11
Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao.

HAPPY NEW YEAR PEOPLE OF GOD

30/12/2024
17/10/2024

*Isaya 43:4*
```Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.```🙂

la mda tu
# trusttheProcess

you at the top

15/10/2024

Moja ya kitu kinachoweza kukuchelewesha kwenye mafanikio yako ni pale unapochelewa kujikubali.

Kuna watu wengi sana ambao wamepoteza ukubwa wao kwa sababu ya kusubiria kukubaliwa.

Ngoja nikukumbushe, bila kujali wewe ni Nani na unafanya nini, lazima kuna watu watakuwa kinyume nawe.

Elbert Hubbard aliwahi kusema “There is only one way to avoid criticism: do nothing, say nothing, and be nothing.”

Yaani, K**a hautaki kukosolewa basi usifanye chochote, usiseme chochote wala usiwe chochote.

Mentor wangu aliniambia, “The Price of Being At The Top is to always Become The Topic”,. Yaani, moja ya gharama ya kuwa juu ni kujikuta ukijadiliwa kila siku, aidha kwa namna unayopenda au la.

Mbaya zaidi ni kuwa, wengi watakaokuongela vibaya ni wale ambao hawakujui na hauna ugomvi nao.

Ndio maisha yalivyo, jifunze kufanya bila kuogopa watakachosema. Una hatima kubwa, usiruhusu izuiliwe na maneno ya watu. Leo dhamiria kufanya unachokiamini bila kujali wanaosema kinyume nawe.

See You At The Top

Dr. Joel Nanauka

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Culinary Team

Attire

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam