12/10/2022
MITSUBISHI FUSO
▫️Manufacture Year : 1991
▫️Engine Capacity : - CC
▫️Engine Code :
▫️Fuel : DIESEL
▫️Transmission : MANUAL
KWA : TZS 94.5 MIL / = TU!
================================
MALIZIA KIASI KINACHOBAKI KWA MUDA USIOZIDI MIAKA MIWILI HADI M8TATU
KARIBU
Sanweli Azori
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
WHATSAPP & CALLS
+255 762 542 464
09/10/2022
Na Elimu ya Magari - Na Samweli Azori
TUMEAGIZA , TUMEFIKISHA NA KUKABIDHI KWA MTEJA WETU WA DODOMA
TOYOTA HARRIER
▫️Manufacture Year : 2007
▫️Engine Capacity : 2,360 CC
▫️Engine Code : 2AZ
▫️Fuel : PETROL
▫️Transmission : AUTOMATIC
KWA : TZS 27.7 MIL / = TU!
AHSANTE MTEJA WETU KWA KUTUAMINI
================================
KARIBU UAGIZE 2007 TOYOTA HARRIER PIA KWA MALIPO YA AWALI YA TZS 16,800,000/= TU
MALIZIA KIASI KINACHOBAKI KWA MUDA USIOZIDI MIAKA MIWILI
NB :
AINA YEYOTE YA GARI UNAWEZA KUNIAGIZA NA UKALIPA KWA AWAMU YA HADI MIAKA MIWILI
Samweli Azori
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
WHATSAPP / TEXT / CALLS
+255 762 542 464
02/10/2022
IFAHAMU TOYOTA VITZ
Na Samweli Azori
Miongoni mwa magari yaliyopata kufahamika kwa uharaka na urahisi zaidi hapa Tanzania kabla ya TOYOTA IST, Basi ni Toyota Vitz
Toyota Vitz ni gari maarufu sana hapa kwetu Tanzania, na hii ni kutokana na utumiaji wake mzuri wa mafuta pamoja na Uwezo wa wengi kuimudu, kuwa tegemezi na kutumika maeneo mbalimbali.
Toyota VITZ , inashindana na Nissan March, Mazda Demio, Honda Fit, na Suzuki Swift.
IMETENGENEZWA LINI ?
Toyota VITZ imeanza kutengenezwa mnamo mwaka 1999, Toyota Vitz inauzwa Japan pekee kwa jina hilo tu, lakini katika masoki ya magari nchi zingine, inafahamika k**a Toyota Yaris.
MATOLEO
Toyota Vitz inakuja na matoleo matatu, Ambapo , toleo lake la kwanza lilifahamika k**a XP10 lilitengenezwa kuanzia 1999 mpaka 2005, toleo la pili yaani XP90 lilitengenezwa kuanzia mwaka 2005 – 2010 na toleo la tatu amnalo ndilo lipo hadi sasa in linalojulikana k**a XP130 ambalo limekua likizalishwa kuanzia mwaka 2011 hadi sasa.
BEI ZAKE :
Bei zake huanzia TZS 9MIL na kuendelea , kutegemea na mwaka husika.
ENGINE ZAKE
TOYOTA VITZ Ina aina tatu za Engine anbayo ni 1.0-liter (990cc) 1KR engine, 1.3-liter (1290cc) 1NR engine, na 1.5-liter (1490cc) 1NZ engine.
Zinapatikana kwenye mfumo wa uendeshaji wa 2WD na 4WD, Toyota Vitz engines zina mfumo wa gearbox wenye either gearbox ya automatic yenye gear 4 , yenye CVT, au gearbox yenye ya gia 5- manual ( manyu )
UTUMIAJI WAKE WA MAFUTA
Toyota Vitz inayokuja na engine yenye ukubwa wa 1.0-liter engine inatembea wastani wa 20.8 Km kwa Litre moja ya Petroli wakati Toyota Vitz SMART STOP yenye 1.3L engine inatembea wastani wa 23.5 Km kwa Litre moja ya petrol na Toyota Vitz yenye 1.3L engine inatembea wastani wa 20.6 Km kwa Litre , Na Toyota Vitz Yenye 1.5L engine inatembea wastani wa 18.8 Km kwa Litre ya Petrol.
UPATIKANAJI WA VIPURI VYAKE PAMOJA NA BEI
Spare parts kwaajili ya Toyota Vitz Zinapatikana kwa wingi sana hapa Tanzania. Kwasababu asilimia kubwa huwa zinaingiliana na Toyota zingine k**a vile Toyota Platz na Ractis,
Ahsante kwa kusoma
Samweli Azori
+255 762 542 464
Dar es salaam,
Tanzania.
30/09/2022
IFAHAMU TOYOTA ALPHARD
Na Samweli Azori
Toyota Alphard ni multipurpose minivan iliyotengenezwa na Toyota since 2002.
Alphard inapatikana mfumo wa seat saba au nane ambapo huja na Engine ya Petrol au umeme ( hybrid )
Utengenezaj wa Alphard zenye Engine za umeme ulianza mapema mwaka 2003,
Alphard inafahamika pia k**a Toyota Vellfire katika nchi zingine , ambapo Velifire utengenezaji wake umeanza mnamo mwaka 2008.
BEI
Bei yake kuagiza , pamoja na ushuru huanzia TZS 18,000,000/= na kuendelea kulingana na mwaka
UBORA :
Alphard ipo katika kizazi chake cha 3rd sasa na has utilized several engines with different setups to power it.
Let’s take a look at the performance of these options.
Na imeshakuja na matoleo mengi tu ya Engine yenye ubora na uwezo tofauti tofauti.
Ila leo ningependa kuongelea toleo la kwanza , ambalo ndio linajulikana na wengi zaidi.
Namaanisha Alphard ya 2002 hadi 2008
Ina injini yenye ujazo wa 2.4-liter (2AZ-FE) 4-cylinder DOHC petrol injini yenye kutoa 160 horsepower.
Hii Injini ina utumiaji wa mafuta kwa kiwango cha wastani yaani inatembea 9.3 km/l (21 mpg).
Ni gari ambayo , ina desturi yaku- transfers power kwenye magurudum ya mbele yaani (FWD) kupitia gearbox yake yenye 4-speed automatic transmission
HITIMISHO :
TOYOTA ALPHARD ni gari nzuri kwakweli, ambayo hupendeza kwa matumizi you, yaani, yakifamilia , kikazi na kila kitu.
Kwa maoni ushauri zaidi, unaweza kunitumia ujumbe na nitafurahi kukusaidia.
28/09/2022
Na Samweli Azori
Nissan Dualis
( Inajulikana pia k**a Nissan Qashqai katika nchi nyinginezo isipokua Japan na Australia ) i
Ni Compact Crossover SUV iliyoundwa / kutengenezwa na kampuni ya uundaji magari ya kijapan Nissan.
Dualis (Qashqai) ilianza mnamo mwaka 2006 na kwa sasa ipo katika kizazi / toleo lake la tatu kuanzia mwala 2021.
Jina la Nissan Dualis limetumika katika matoleo ya kwanza (2006 – 2013) models, kisha jina kubadilishwa kwenye lake jipya na kutambulishwa Qashqai na ndilo jina litakalotumika ulimwenguni kote.
Ni miaka 16 hadi sasa, tokea Nissan Dualis imeingizwa sokoni na kuanza kuuzwa,
idadi kubwa hadi sasa imeshauzwa tokea zimeingia sokoni hadi sasa, zaidi sana bado nyingi zinaoatikana kwa wauzaji wengi wa magari ndani na nje ya nchi.
Huku bei ya kuagiza zikiwa kuanzia 19mil ( Pamoja na usajili )
Nissan dualis inapatikana katika machaguo aina mbili ya Engine
ambapo ni k**a ifuatavyo ;
1. HR16DE = 1.6 Litres
2. MR20DE = 2.0 Litres
inapatikana katika machaguo ya uendeshaji miwili, yaani 2WD ( 2- WHEELS DRIVE ) Pamoja na 4WD ( 4 Wheels Drive )
Ambapo zina 5-speed manual, 6-speed manual , 6 Speed automatic au CVT Transmission.
ENGINE :
1. HR16DE = 1.6 Litres
inline-4 DOHC petrol engine inayokupa 117 hp na116 lb-ft ya torque.
ENGINE hii ina utumiaji wa mafuta wa wastani wa 15.6 km/l.
2. MR20DE = 2.0 Litres
inline-4 DOHC petrol engine inakupa 147 hp na 155 lb-ft ya torque
ENGINE hii matumizi yake ya mafuta ni wastani wa 11.5 km/l. Yaani inakwenda kilometa 11.5 kwa lita moja.
SPARE PARTS :
Upatikanaji wake wa spare, awali ilipokua imeingia, ilikua ni changamoto kidogo, lakini wingi wake hapa nchini, pia umerahisisha urahisi wa upatikanaji wake wa vipuri na mambo mengine.
Kwa maswali zaidi, usisite kuuliza.
Ahsante
28/09/2022
Wow!
Karibu sana kwenye ukurasa wangu wa Elimu ya Magari - Na Samweli Azori
Karibu tujifunze pamoja kuhusiana na mambo yote yanayohusu magari, yaani kuanzia
- Njia Bora ya kuchagua gari
- Mategenezo
- Vipuri sahihi
- Vibali
- Ununuzi
- Uuzaji
- Bei N.k