10/04/2026
Shalom watumishi wa Mungu endelelea kutenga muda Wako vizuri wa kutosha wa kusoma Neno la Mungu Kila siku ubarikiwe
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FPCT KIGEZ JUU, College & University, Chanika buyun KIGEZ JUU, Dar es Salaam.
10/04/2026
Shalom watumishi wa Mungu endelelea kutenga muda Wako vizuri wa kutosha wa kusoma Neno la Mungu Kila siku ubarikiwe
Mithali : 22 :6. Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
Huyu n mtumishi mkubwa wa Mungu ajae.
25/08/2025
Neema ya Mungu yatufundisha kukataa dhambi!
AMEN
29/06/2025
Ilikuwa ni sku njema sana yenye uwepo wa Mungu
18/05/2025
Nawatakia ibada njema yenye utukufu wa MUNGU
12/01/2025
Omba kwaajili ya watumishi hawa Omba kwaajili ya wakristo wote
Watumishi wa Mungu wakionyesha namna imani yetu ilivyoingiliwa na manabii wa uongo na jinsi hata waliokuwa wateule wanavyozidi kudanganyika. Kuna ujumbe mhm wa kujifunza na kujihadhali dhid ya manabii.
Mathayo 24:24....
Mungu anaendelea kuwatumia watumishi wake kufundisha watoto wetu namna ya kuikataa dhambi
18/12/2024
18/12/2024
Hivi ndivyo watoto wetu walivyopendeza
25/11/2024
Hongeren sana watumishe mkawafundishe watoto wetu kweli na njia sahihi
22/05/2023