07/06/2022
Uongozi ni kuacha alama kwa watu unaowaongoza.
Welcome to the Institute of Adult Education page, here you can find different news happen to our institution
07/06/2022
Uongozi ni kuacha alama kwa watu unaowaongoza.
07/06/2022
Mh. Rais wa serikali ya wanafunzi kushoto pamoja na Mh. Spika wa bunge la serikali ya wanafunzi kulia wakipata picha ya pamoja baada ya kikao cha kuvunja bunge la serikali ya wanafunzi.
07/06/2022
Picha ya pamoja baada ya kikako cha kuvunja bunge la serikali ya wanafunzi IAE kilichofanyika Tarehe 06/06/2022.
Video zikionesha wanafunzi wa Diploma mwaka wa 2 na Bachelor mwaka wa 3 wakianza safari ya Tour kwenda Kilwa na Saadani.
07/06/2022
Pichani ni wanafunzi wa Institute Of Adult Education (IAE) wakiwa katika Tour Saadani National Park mnamo Tarehe 03/06/2022.
12/01/2022
WELCOME FIRST YEAR JANUARY 14, 2022
12/01/2022
WANACHUO WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE ZA KUWAKARIBISHA WANACHUO WA MWAKA WA KWANZA TAREHE 14 JANUARY 2022
08/12/2021
BATA VIMBWETANI
08/12/2021
Hii function itafanyikia tarehe 18/12. Siku ya jumamos. Vijana kwa umoja wa vyuo vikuu wameandaa ili kuweza kubadilisha experience kwa pamoja na wameandaa wazungumzaji ambao ndio hawa wanaoonekaka kwenye mabango
-DSM
Kampuni ya SoftyTrainers Ltd inakualika kushiriki mafunzo ya;
MANAGERIAL CREATIVITY & INNOVATION LEADERSHIP on;
Creative Leadership, Public Speaking, Customers Relationship, Capital Raising & Project Proposal
04&05/12/2021, 9Am-6Pm
UTAPATA:
2 Days Training, Softdrinks, Notebook, Certificate, BP&PP Samples, Network, P.Speaking & Cash Awards
Lipa 45,000 kwa
Katikiro-0626317335 Hamissi-0786878168
Upate TIKET B4 Friday 6Pm
18/11/2021
GUSA LINK HII KUPATA TAARIFA YA ZIARA YA RAIS WA IAESO ALIPOTEMBELEA HOSTEL YA KIGOGO JANA TAREHE 17.11.2021
ziara kigogo.pdf Conveniently share files to you and your friends. All files can be easily controlled for permissions. A secure storage system guarantees your file security.
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 14:00 |