24/03/2021
Ebenezer of power Daycare
Kwetu watoto wanakaa k**a wapo nyumbani , usalama, usafi, maadili na kuwasaha mwanga wa elimu ndani mwao
24/03/2021
26/01/2021
Time to go home
18/01/2021
😍😍😍😍
18/01/2021
It is the Monday, the class goes on
06/01/2021
Mwaka mpya wa masomo/ malezi umeanza tena!
Tunapokea idadi tunayoweza kuimudu, walezi wetu wamefundishwa namna ya kutoa huduma ya Kwanza na vifaa vipo, walezi wetu wamepima afya zao, watoto wanna vyoo kwa ajili yao tu vinavyotunzwa katika usafi wa hali ya juu, mazingira ni salama na tulipo panafikika. Tupigie; 0713050483
06/01/2021
Wellcome baby boy😍😍
04/01/2021
Tumefungua leo, tunawasubiri! Karibuni
Ulaji wenye tija kwa mtoto;
1. Muda wa mtoto kula uwe wakati mzuri kwake, inapobidi kula naye k**a familia mkiongea maneno mazuri hata k**a akikosea huu sio muda wa kumkaripia na kumuadhibu!
2. Muache mtoto mwenyewe aseme K**a ameshiba, usimuamulie! Mpe chakula kidogo mara kwa mara.
3. Mpe mlo kamili, hakikisha makundi haya matatu ya vyakula yapo katika mlo wa Kila siku;
matunda na mbogamboga, vyakula vya nafaka mfano uji wa lishe, protini K**a maziwa, mayai, samaki , nyama na maharage.
4. Apate maji ya kutosha, mpe chupa yake ya maji akae nayo muda wote ili anywe Kila anapohitaji.
5. Msifie na kumpongeza anapojitahidi kula
6. Epuka kumpa kwa wingi vyakula vilivyokaangwa na vile vya viwandani
7. Hakikisha anafanya mazoezi mepesi yanayoendana na umri wake, K**a anatoka nje na kucheza hii inatosha.
Tunafungua mapema kabisa tar 4, januari 2021. Mwanao asikukwamishe kwenda kazini tupo kwa ajili yako ili mambo yako yaende. Tupo Gongo la mboto mwisho,0713050483
24/12/2020
Kwa pamoja tushikane mkono, tusonge mbele! Mwanao kwetu ataishi k**a nyumbani.
#2021
01/12/2020
See you in January kids
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam