Shule Manage

Shule Manage

Share

We help your school life better.

19/10/2025

Ubao wa Shule Tablet sasa ni wa kuchajI na unapatikana katika size mbili Inch 13 na Inch 16. Wasiliana nasi 0678 665567 kumzawadia mwanao ubao huu.

06/09/2025

Ubao wa Shule Tablet 28,000/= na Zawadi zake 3 bure kwa ajili ya mwanao. Unakuja na kalamu yake isiyotumia wino kuandika na hufuta kwaa kubonyeza alama ya delete. Piga 0678 665567 au WhatsApp 0678 665 567. Sikiliza Video kwa maelezo zaidi.

20/05/2025

Magic Package Books, Vitabu Saba bora 35,000/=
Piga 0678 665567 au WhatsApp 0678 665 567
Ofisi iko Ubungo Simu 2000, Mawasiliano.
Mikoani tunatuma kwa uaminifu.

21/04/2025

MEGA ARTSET (Pc 208) 40,000/=
Kids artset, Set ya Rangi (Pc 150) 30,000/=
0678 665567 au WhatsApp 0678 665 567
UBUNGO SIMU2000 MAWASILIANO
🎁 Unapata Rangi za kila design water Colours, Oil Pastel, Makers na Wax Crayons.
🎁 Ni package maalumu yenye jumla ya vifaa 208 ( rangi aina zote, pencils, karatasi, kibanio karatasi nk) kwa ajili ya kujifunzia watoto kujifunza.
🎁 Ni Nzuri Sana , kubwa na Ina muonekano Mzuri hivyo inaleta hamasa kwa watoto kujifunza na kutambua kipaji mapema.
🎁 Ni Nzuri Pia kumpa mtoto k**a zawadi.
40,000/= kubwa na 30,000 ndogo.
0678 665567

26/02/2025

Sasa mtoto anaweza kujifunza kwa kutumia kitabu kinachotoa Sauti yaani Sauti Book. Piga 0678 665567 au WhatsApp 0678 665 567.

Pia mtoto atapatiwa zawadi mbili ya kwanza ni betri tatu za kitabu tumeshakununulia. Pili tutakupa na kitabu cha maji ili kumchangamsha mtoto.

Bei ni 33,000/=

09/01/2025

Suluhisho pekee la mtoto kujua kuandika haraka ni vitabu saba vya Magic Package Books. Bei yake ni 35,000/= na viko saba wasiliana nasi WhatsApp 0678 665 567 au Piga 0678 665567.

Wateja walioko Dar es salaam utaletewa kwa kuchangia nauli kuanzia elfu 2 tu. Walioko mikoani na Zanzibar utatumiwa mpaka ulipo. Karibuni sana πŸ™

09/01/2025

Sikiliza mtoto akielezea Magic Package Books yenye vitabu 7 inayomsaidia mtoto kujifunza kuandika. Karibuni wazazi na walezi mjipatie vitabu hivi vilivyoandaliwa baada ya kupitia maoni mbalimbali ya walimu Tanzania. Piga 0678 665567 kupata vitabu vyako leo. Karibuni sana πŸ™

12/12/2024

Jipatie seti ya Magic Package Books, Hii ndo seti pekee Tanzania yenye vitabu SABA (35,000) kwa ajili ya kumsaidia mtoto kujifunza kuandika yeye mwenyewe. Piga 0678 665567 au WhatsApp 0678 665 567.
Kuna seti ndogo zenye vitabu vichache (25,000) pia za budget ndogo.
Dar es salaam utaletewa delivery elfu 2. Mikoani na Zanzibar unatumiwa. Ofisi zetu iko Ubungo Mawasiliano Dar es salaam.
Mtoto atajifunza kuandika kwa kupitisha kalamu kwenye michirizi. Shule Manage tutakupa kalamu na mirija 10 ya wino ambayo mtoto atatumia mpaka ajue kuandika. Kabla ya kununua Magic Package fahamu idadi ya vitabu na kalamu. Karibuni sana wazazi wote. πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ

12/11/2024

OFFER: Shule Tablet na zawadi zote tatu (28,000/=) huu ni ubao mkubwa sana kwa ajili ya watoto unaomsaidia kuandika na kufanya hesabu k**a rough paper. Piga simu 0678 665567 au WhatsApp 0678 665 567.
Ofisi zetu ziko Ubungo Mawasiliano, Tunatuma bidhaa popote Tanzania na kwa Dar es salaam utaletewa nauli elfu 2. Karibuni sana πŸ™πŸ™πŸ™
MAELEZO ZAIDI
Shule Tablet hii ni kubwa sana 30cm (diagonal) zaidi ya Inch 12 ambayo ina uwezo wa kuandika na kufuta maandishi automatic kwa kubonyeza alama ya delete. Inatumia betri linalodumu hadi miezi 18 mpaka miaka 2 na likiisha waweza badilisha. Wazazi karibuni umpatie mtoto Shule Tablet. Na sasa inakuja na zawadi tatu.
1. Math Cube - Ni kifaa cha kupanga maswali ya hesabu kwenye gurudumu na kuyafanya.🀩
2. Paint Water book ni kitabu ambacho mtoto anaweza kuchezea kwa kupitisha kalamu ya maji na picha zitaonekana na kitabu kikikauka picha hupotea hivyo kumsaidia mtoto kurudia tena na tena. Karibuni sana.πŸ™πŸ™πŸ™
3. Maze Game - Ni kifaa chenye mchezo wa Maze wa kupanga golori kwenye maze ni mchezo unaomchangamsha mtoto kiakili na kumuweka bize. πŸ™πŸ™πŸ™
KARIBUNI SANA WAZAZI WOTE MJIPATIE SHULE TABLET NA ZAWADI ZAKE.

12/11/2024

Wateja sasa unaweza kuomba Invoice ambayo inatengenezwa automatic baada ya kuweka order. Hii inasaidia kuweka taarifa vizuri ya ulichoagiza ili utegemee utakachopokea. Karibuni sana, kwa maelezo zaidi au kuweka order Piga 0678 665567 au WhatsApp 0678 665 567. Picha hii ni mfano wa Invoice.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Mawasiliano Simu 2000
Dar Es Salaam
14114