helloo
Ɓeatasi OPEN school-Ilemɓa sumɓawanga
Tupo ilemɓa sumɓawanga
The home of wisdom
Ɓeatasi open school ni shule hii ni shule inaƴotoa mafunzo ya elimu ƴa watu wazima, watahiniwa wa kƴjitegemea yaani private candiɗates, wanaotuɗia mitihani ƴa kiɗato cha nne, kidato cha tano na cha sita ƙwa mwaƙa mmoja tu ƙwa gharama nafuu sana. Tunapoƙea pia wanafunzi walioƙatisha masomo ƙutokana na mazingira magumu mfano hali ngumu ya maisha ƙushindwa ƙupata mahitaji mhimu, kupata ujauzito akiwa shuleni, tunapoƙea pia watoto ƴatima amɓao wamekosa msaaɗa wa kupata elimu kutokana na wazazi wao ƙufariki na kupoteza mweleƙeo. Taasisi inajitolea kuwahudumia na kuhakikisha wanapata elimu na kufufua ndoto zao. Tupo ƙata ƴa ilemɓa wilaƴa ƴa sumɓawanga mƙoa wa ruƙwa. Mlowo-ƙamsamɓa-ƙilƴamatundu-ƙaoze-kapenta-ilemɓa, au ukitoƙea tunduma unaenda-laela-ƙalamɓanzite-ilemɓa tupo mkaɓala na shule ƴa seconɗari ilemɓa kariɓu na ƙituo cha police cha ilemɓa.
Ƙwa mawasiliano piga: 0743097425/0755577377/0620296939
Wote mnakariɓishwaaa
OUR MOTTO: STRIVING TO THE EXCELLENCY
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Address
Dar Es Salaam
ƁEATASI