23/06/2023
This book revolves around Liam who is a successful entrepreneur in the timber industry in his early 30s. With all that he has, he is indeed successful and remembers every minute of hard work within 15 years - what he does not remember is his 16 years in the past.
He is yet to discover the shadows that he left behind as he makes his decision to marry his fiancΓ©, Selah.
Its now available in our website link in bio. ππ₯
Scan qr code to get it now.
By the one only
10/06/2023
Je! unatafuta kujifunza jinsi ya kutumia Adobe Photoshop?
Je! unatafuta kua mtalam wa Adobe Photoshop na kupata ajira kwenye makampuni makubwa?
Usihangaike tenaa!
Darasa letu la Adobe Photoshop ni bora kwa wanaoanza na wenye ujuzi pia wa Adobe Photoshop.
Katika darasa hili, utajifunza jinsi ya kutumia zana na vipengele vya Adobe Photoshop ili kuunda picha na michoro maridadi.
Iwe unatafuta kuunda sanaa ya kidijitali, kuhariri picha, au michoro ya muundo wa biashara yako, darasa letu lina kila kitu unachohitaji ili kuanza.
Jisajili leo na uanze kuunda picha nzuri na Adobe Photoshop!
Join Group Tuanza darasa.! π
https://chat.whatsapp.com/HxpqTg3eEcQ144Lvmq3yU7
23/04/2023
Namna ya kuendesha matangazo ya kulipia ndani ya instagram
Unda Tangazo lako la kwanza la Instagram. Uuzaji bora wa Instagram na Matangazo ili kutengeneza trafiki na miongozo ya biashara ya barua pepe.
Namna ya kuendesha matangazo ya kulipia ndani ya instagram (Sponserd Ads) | Ubunifu Academy
Unda Tangazo lako la kwanza la Instagram. Uuzaji bora wa Instagram na Matangazo ili kutengeneza trafiki na miongozo ya biashara ya barua pepe.
21/04/2023
It is very easy to do business online as long as you have a strategy that gives you direction and procedures to follow so that you don't get out of the goal, don't give up, don't be under pressure, and this is what we call social media strategy
Link in bio ππ€
19/04/2023
Safari ya Kufanikiwa mtandaoni ni safari ambayo inataka uwe na uelewa wa baadhi ya vitu. Hapa nazungumzia Uwezo wa kujenga sifa, Nani unamlenga, Je huyo unaye mlenga anatarajia nini kwako. Ukiya elewa haya ni rahisi sana mtu yoyote kushawishika na wewe na kutaka kuwa karibu na wewe au kufanya kazi na wewe.
Fungua link kwenye bio upate ebook leo yako kwa bei ya offer.
19/04/2023
Bado hujapata wazo la biashara? . Biashara inachechemea? . Unataka kufanya Biashara gani? . Watu wengi mno mnaulizia Biashara za kufanya. . Napokea zaidi ya message mpya 500 kwa siku. . Ukweli siwezi kumjibu kila mtu na kuongea na kila mtu ingawa najitahidi kufikia kila mtu lakini ninaweza kukujibu kupitia hiki kitabu. . Hiki kitabu cha USTAWI WA BIASHARA Kina kila kitu unachotaka kujifunza ili kuanza na kukuza Biashara yako. . Humu utajifunza.
Fuata link kwenye bio upate nakala yako ya ebook kwa bei ya offer.
19/04/2023
Safari ya Kufanikiwa mtandaoni ni safari ambayo inataka uwe na uelewa wa baadhi ya vitu. Hapa nazungumzia Uwezo wa kujenga sifa, Nani unamlenga, Je huyo unaye mlenga anatarajia nini kwako. Ukiya elewa haya ni rahisi sana mtu yoyote kushawishika na wewe na kutaka kuwa karibu na wewe au kufanya kazi na wewe.
Fuata link kwenye bio upate e-book yako kwa bei ya offer.
18/04/2023
Kuna watu wengi wanauza bidhaa au huduma uliyonayo mtandaoni. Nini kitawafanya wateja wanunue kwako na si kwa watu wengine?
1. Kuwa mtaalamu. Onyesha kuwa unachokiuza unakijua vizuri, kuwa k**a daktari kabla hajakuhudumia anafahamu shida yako. Ijue bidhaa yako vizuri.
2. Kuwa mshauri. Usikimbilie kuuza tu, washauri watu namna ya kutumia bidhaa zako, namna ya kuzitunza na umuhimu wake.
3.Kuwa mwalimu. Wafundishe wateja wako kuhusu bidhaa yako, namna unavyoiandaa, vifaa na kuitunza. Gusa hisia za mteja, fanya mteja akukumbuke.
https://ubunifuacademy.co.tz/master_class/21/Mbinu%20Za%20Kuuza%20Zaidi
17/04/2023
Lets start learning. π¨βπ»