15/09/2024
laoshiopenschool
QT na Resisters
Tuitions
Pre form one
Computer courses
Kozi za lugha
Ufanyaji mitihani na masahihisho
15/09/2024
24/01/2024
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WANAOJISALI K**A QT KUANZIA MWAKA 2024 NA KUENDELEA
18/01/2024
KWA WATAHINIWA WA MWAKA 2024.
MAANDALIZI YA KUFAULU MTIHANI VIZURI HUWA HAYAFANYWI SIKU CHACHE KABLA YA MTIHANI.
HAKIKISHA UNAANZA SASA KWA KUJIANDAA VYEMA, KUJISAJILI NDANI YA MUDA ULIOELEKEZWA NA NECTA.
KARIBU TUKUANDAE MAPEMA
Wasiliana nasi leo.
+255 626 643 137
+255 749 632 632
Au tembelea website yetu
www.laoshiinstitute.ac.tz
Pia, waweza kutuandikia barua pepe (E-mai)
[email protected]
16/08/2023
MATOKEO YA HSK YAMETOKA
Huyu ni mwingine kati ya wanafunzi wetu waliofanya mitihani hiyo na amefaulu kwa alama za jumla ya 235 kati ya 300 baada ya kufanya mtihani wa daraja la nne (HSK 4).
Ufaulu huu unampa nafasi ya kuomba scholarship ya kwenda kusoma China.
Mitihani hii ilifanyika tar 16 July 2023 k**a tulivyotangaza kupitia kurasa zetu.
Ikiwa nawe una ndoto ya namna hii, umejaribu na kushindwa, tupo kukusaidia kufikia malengo yako k**a waalimu na washauri wako.
+255 626 643 137
+255 674 137 638
E-mail:
[email protected]
Website:
www.laoshiinstitute.ac.tz
16/08/2023
MATOKEO YA HSK YAMETOKA
Huyu ni mmoja kati ya wanafunzi wetu waliofanya mitihani hiyo na amefaulu kwa alama za jumla ya 225 kati ya 300 baada ya kufanya mtihani wa daraja la nne (HSK 4).
Ufaulu huu unampa nafasi ya kuomba scholarship ya kwenda kusoma China.
Mitihani hii ilifanyika tar 16 July 2023 k**a tulivyotangaza kupitia kurasa zetu.
Ikiwa nawe una ndoto ya namna hii, umejaribu na kushindwa, tupo kukusaidia kufikia malengo yako k**a waalimu na washauri wako.
+255 626 643 137
+255 674 137 638
E-mail:
[email protected]
Website:
www.laoshiinstitute.ac.tz
01/06/2023
UNATAFUTA PA KUSOMA WAKATI WA LIKIZO?
UNA CHANGAMOTO KWENYE SOMO/MASOMO AU TOPIC/TOPICS?
UNATAMANI KUFANYA MITIHANI YA KUJIPIMA?
Walewale Laoshi Institute of Languages, sasa wanakuja na Laoshi Open School pia.
Laoshi Open Scholl tumekuletea nafasi hii kwa mkazi Dar es Salaam, na kwa atakayekuwepo Dar es Salaam wakati wa likizo.
Huduma zetu:
• Tuitions kwa wanafunzi (primary, O level na A level)
• Kufanya mitihani ya kujipima
• Masomo kwa QT na Resiters
• Kujifunza lugha.
OFFER YA PRE FORM ONE MWAKA HUU.
• Ada ni 40,000 pekee
• Mwanafunzi atachagua lugha moja kujifunza bure.
HUDUMA ZETU NI ENDELEVU, UAMINIFU NA HUDUMA BORA NI KIPAUMBELE KWETU. TUJARIBU UJITHIBITISHIE.
Mawasiliano
+255 626 643 137
E-mail
[email protected]
MAFANIKIO YAKO NI NDOTO YETU.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 08:30 - 20:30 |
| Tuesday | 08:30 - 20:30 |
| Wednesday | 08:30 - 20:30 |
| Thursday | 08:30 - 20:30 |
| Friday | 08:30 - 20:30 |
| Saturday | 08:30 - 12:00 |