Tunafanya wiring za aina zote kwenye Nyumba na maeneo mengine, tunapatikana mbagala chamazi, mawasiliano 0713 612 749/ 0716 979 768, popote ulipo tutafika( huduma zetu tunafunga Fan, photocell sensor, sensor light, submeter, Avs, spotlight, solar panel n.k) karibu tufanye kazi
ELIMU NI UTU
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ELIMU NI UTU, Dar es Salaam.
11/10/2021
Madrasat Ibn mambo imeeandaa masomo ya kujifunza kusoma na kuandika kiarabu kwa watu wasiojua kabisa kupitia WhatsApp group, weka namba tukuunge
24/09/2021
Tunafundisha kusoma na kuandika kiarabu kwa watu wasio jua kusoma kabisa kwenye WhatsApp group (elimu ni utu) pia tunafundisha Qur'an kwa watu wasiojua kusoma kabisa, tumia utandawazi kupata faida, nyote karibuni...
Click here to claim your Sponsored Listing.