17/10/2019
K**a wewe ni mwanafunzi wa sekondary au chuo na hujui kiingereza unapoteza muda au kusindikiza tu wenzio hata upeo wako darasani ni mdogo, SABABU KUBWA NI KIINGEREZA, pengine huamini ila siku ya interview ndio utaumbuka, njoo upewe mbinu sahihi za kuzungumza kiingereza kwa vitendo usisubiri kuumbuka
09/10/2019