Linden s

Linden s

Share

Digital Creator & Digital System Setup Expert
Setup Google Workplace | Microsoft Office | Zoho Workplace
Domain Setup Support

19/05/2026

After putting my heart into the application process, I’m thrilled to share that I’ve been officially accepted as a virtual delegate for the 2026 World Bank Group Youth Summit! 🌍

This year’s Summit, themed “FutureWorks: Designing Jobs for the Digital Age,” brings together young changemakers from around the world to explore and co-create solutions for the future of work.

I’m especially excited to engage in the Education and Skills Development track; focusing on bridging digital and vocational skill gaps to prepare youth for AI-driven careers and tech-powered industries.

Drawing on my experience working in Education Sector, I aim to bring back insights and actionable ideas that can support Tanzania’s youth, helping to create pathways for education, skills development, and meaningful employment in our rapidly evolving digital economy.

A huge thank you to the World Bank Group Youth Summit for this incredible opportunity to learn, share, and contribute to shaping a brighter future for our generation and for my country!

18/05/2026

Jioni tulivu Jijini Dar es Salaam

18/05/2026

TAFAKURI: Ongezeko la Matumizi ya Pombe Tanzania — Tunapaswa Kujitafakari?

Katika miaka ya hivi karibuni, binafsi (kwa utafiti usio rasmi) nimegundua matumizi ya pombe yanaonekana kuongezeka kwa kasi katika jamii yetu. Pombe imekuwa sehemu ya burudani, biashara, na kwa wengine njia ya kukimbia changamoto za maisha(siku moja nikiwa Dodoma, niliona bango katika hoteli moja limeandikwa "Bia ni dawa ya kukusahaulisha changamoto zako kwa muda" Lakini swali la kujiuliza ni: Je, taifa linaelekea wapi endapo kizazi chake kitaendelea kuzama zaidi kwenye matumizi ya pombe?

Athari za matumizi holela ya pombe si za mtu mmoja pekee, bali zinaigusa familia, jamii na taifa kwa ujumla. Vijana wengi hupoteza muda wa uzalishaji, uwezo wa kufanya maamuzi sahihi hupungua, na wakati mwingine pombe huchochea migogoro ya kifamilia, ajali za barabarani, vitendo vya ukatili na changamoto za kiafya. Taifa lenye nguvu kazi inayodorora kutokana na utegemezi wa pombe linaweza kukabiliwa na kupungua kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Ni muhimu pia kujiuliza kwa nini watu wengi zaidi wanakimbilia pombe. Je, ni shinikizo la maisha? Ukosefu wa ajira? Msongo wa mawazo? Au ni namna matumizi ya pombe yanavyozidi kuhalalishwa na kuonekana ya kawaida katika mazingira yetu? Huenda suluhisho lisianzie kulaumu pekee, bali kujenga mazingira yenye matumaini, ajira, elimu na mazungumzo ya wazi kuhusu afya ya akili na wajibu wa kijamii.

Pombe si adui kwa kila anayoitumia, lakini matumizi yasiyo na mipaka yanaweza kuwa mzigo mkubwa kwa taifa. Tunapozungumzia maendeleo ya Tanzania, lazima tuzungumzie pia afya ya wananchi wake, nidhamu ya nguvu kazi, na mustakabali wa vijana wake. Taifa bora halijengwi na barabara na majengo pekee, bali na watu wenye afya, maadili na uwezo wa kujenga kesho iliyo bora.

Na wewe unaonaje?

01/05/2026

ENDELEA BILA KUKATA TAMAA MPAKA KIELEWEKE

01/05/2026

⚠️EPUKA MATAPELI

Tuma kwa watu wengine ili tujifunze pamoja

26/04/2026

KARIBU TUFANYE KAZI PAMOJA,

Huduma za uhakika, salama na haraka.

Wasiliana nasi 0768224224

OLIN TRADERS COMPANY LIMITED

22/04/2026

Ukisikia "HUKU WANALIPA" usifanye maamuzi ya haraka kufungua akaunti. Hakikisha unaifahamu kwanza hiyo platform ndio ujoin

21/04/2026

Usipitwe na Digitali
📨📨

20/04/2026

Usikubali kufanya makosa k**a yakwangu😅

Una swali? Andika kwenye comment nitakujibu

20/04/2026

Kuna platform nyingine ya uhakika unaifahamu?
Iandikwe kwenye comment👇

19/04/2026

Pata domain yako sasa na biashara yako ionekane legal..Jenga uaminifu sokoni

Comment NIJULISHE nikupe maelekezo

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Dar Es Salaam
12011

Opening Hours

09:00 - 17:00