Jitegemee kiuchumi
KARIBU KATIKA MAFUNZO YA KUJIKOMBOA KIUCHUMI🧏🏻♀️
CALL NO +255 760-752-275
MAUMIVU YA WANAUME HAYAONEKANI,
LAKINI HUYABEBEKA KILA SIKU.
• Anacheka mbele ya watu,
lakini moyoni ana vita.
• Anaambiwa “kuwa mwanaume”,
hakuruhusiwi kulia.
• Akikosa pesa,
anapoteza heshima.
• Akichoka,
anasemwa ni dhaifu.
• Akikaa kimya,
anasemwa hana malengo.
UKWELI NI MMOJA:
Mwanaume naye ni binadamu.
Ana maumivu, ana hofu, ana ndoto
TUKUTANE 26/01/2026
SAA 8:00 MCHANA
PIGA SIMU: 0760-752-275
MAUMIVU YA MWANAUME
Hayaongewi… lakini yanaua ndoto kimya kimya.
🔴 MWALIKO WAKO🫵
📅 26/01/2026
📍 Delux Hall – Sinza
⏰ Saa 8:00 Mchana
Njoo ujifunze:
✔️ Namna ya kukuza UCHUMI
✔️ Afya ya mwanaume
✔️ Maisha na uongozi wa mwanaume
📞 Mawasiliano: 0760 752 275
Kujenga nyumba ni matumizi, sio utajiri. Utajiri hujenga nyumba bila maumivu.🧏
06/06/2025
Uhuru wa mafanikio upo katika Mikopo yako🧏♂️
0760752275 mtafutaji
06/06/2025
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam