Jitegemee Sec School

Jitegemee Sec School

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jitegemee Sec School, School, Dar es salaam, Dar es Salaam.

19/11/2023

Kwa nini jitegemee secondary ni sehemu sahihi kwa mtoto wako

1. Jitegemee kuna usalama mkubwa wa mwanao atasoma huku tukihakikisha elimu bora, maadili na nidhamu ni vipaumbele kwa mwanafunzi.
2. Elimu lazima itautue changamoto katika jamii yetu hivyo mwanafunzi aliyehitimu jitegemee ana nidhamu ana elimu ya ujasiria mali na biashara tofauti na wengine hii inampa ujasiri wa kujitegemea hivyo ana uwezo mkubwa wa kutatua changamoto za ajira kwa kujiajiri.
3. Mwanafunzi wa jitegemee ni mbunifu anaweza kubadilisha maisha yake mwenyewe kwa uzoefu alioupata shule kupitia elimu kwa vitendo na pia ni kiongozi katika jamii anakidhi mahitaji ya kiongozi bora
4. Shule ya Jitegemee ina maabara bora sana kufindishia wanafunzi kwa vitendo na maktaba iliyosheheni vitabu vya kiada na ziada hivyo mwanao hatahangaika kutafuta vitabu vipo na maabara zipo kumuanda kuwa taifa bora la kesho.
5. Mafunzo ya ukak**avu yanyomjenga mwanafunzi kuwa kijana bora wa taifa la kesho vilevile kujenga uzalendo kwa nchi ya Tanzania
6. Uvumbuzi huletwa na elimu kwa vitendo tunazingatia sana elimu kwa vitendo ndio maana masomo yetu yanalenga mwanafunzi aweze kuvumbua kitu muhimu ambacho kitasaidia jamii yetu. Mfano tunaye mkurugenzi wa girls voice allience ni mwanafunzi wetu aliyehitimu mwaka 2023 na kuweza kuanzisha kampuni ya
7. Hizi ni sababu zinazoifanya Jitegemee Secondary kuwa sehemu sahihi ya elimu kwa kila Mtananzania

MUHIMU SANA
1. Nafasi za kidato cha kwanza kwa mwaka 2024 zipo
2. Nafasi za kuhamia kidato cha pili, tatu na cha nne na kidato cha tano.
3. Nafasi za kurudia mtihani kidato cha nne na masomo ya QT
4. Darasa maalumu kwa wanaotaka kusafisha vyetu ambao ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali (EXCUTIVE CLASS)

WASILIANA NASI
0747 943 988
068 306 7681
067 804 7742

13/11/2023

Je? Unajiuliza ni shule gani utampeleka mwanao apate elimu bora basi usihangaike JITEGEMEE JKT SECONDARY ni shule Kongwe yenye historia bora katika kutengeneza viongozi na vipaji mbali mbali vilivyo leta tija kubwa sana katika taifa letu, shule inatoa taaluma bora na kukuza vijana wa taifa letu kuwa wabunifu, nidhamu na kuendeleza sera ya kujitegemea wakati wote katika maisha yao.

MUHIMU
Usaili wa wanafunzi kidato cha kwanza unadelea kwa mwaka 2024.

Mwanafuzi akiwa JITEGEMEE (JKT) SECONDARY ataweza kujifunza mambo mabalimbali k**a ifuatavyo

1. Masomo ya kawaida
2. Elimu ya ujasiria mali k**a vile utengenezaji wa sabuni.
3. Kupata elimu kwa vitendo itakayo msaidia kupambana na changamoto za ajira katika jamii yetu.
4. Nidhamu bora kupitia mafunzo ya ukak**avu
5. Mafunzo ya mziki na sanaa mbalimbali
6. Michezo mbalimbali
Shule ina walimu wa kutosha na wenye taaluma ya kutosha kumlea kielemu na kinidhamu mwanafunzi

ADA ZETU NI NAFUU NA ZINALIPWA KWA AWAMU NNE

Fomu ya maombi ni Tsh 15,000/=
Fomu zinapatikana
1. Shuleni
2. Msimbazi center (katika stationery)
3. Mwananyamala katika ofisi za Akili Kubwa Company LTD

Wasiliana nasi
0747 943 988
068 306 7681
065 534 9300
067 804 7742

MOTTO: ELIMU, NDHAMU NA KUJITEGEMEA

Photos from Jitegemee Sec School's post 20/10/2023

MATUKIO KWA PICHA

Baadhi ya wazazi na wanafunzi waliohudhuria MAHAFALI ya kidato Cha NNE Siku ya Jana tarehe 19Oct2023

Mtag Yeyote unayemjua hapo

Follow:

Photos from Jitegemee Sec School's post 20/10/2023

KUHUSU MAHAFALI YA 39 YA KIDATO CHA NNE

pichani ni baadhi ya wanafunzi wa kidato Cha NNE wakipokea vyeti siku ya Jana katika MAHAFALI


Follow:


Photos from Jitegemee Sec School's post 19/10/2023

MAHAFALI YA 39 YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARY JITEGEMEE

Mwakilishi wa mgeni RASMI, Mr ambaye ni mwenyekiti msaidizi wa YANGA

Akitoa huduma pamoja na kugawa vyeti kwa WAHITIMU pamoja na walimu waliofanya vizuri..

Karibu JITEGEMEE KWA ELIMU BORA KWA KIJANA WAKO

FOLLOW US:




Photos from Jitegemee Sec School's post 19/10/2023

Wasomaji wa RISALA kwa mgeni RASMI

wanafunzi wa Jitegemee wakisoma RISALA kwa mgeni RASMI..

Photos from Jitegemee Sec School's post 19/10/2023

MATUKIO KWA PICHA..

Hali ilivyo muda huu katika MAHAFALI ya 39 YA KIDATO CHA NNE, hapa Shuleni Kwetu JITEGEMEE JKT SECONDARY SCHOOL


17/10/2023

KARIBU KATIKA MAHAFALI YA 39 YA KIDATO CHA NNE

Ya SHULE ya sekondari JITEGEMEE JKT yatakayifanyika TAREHE 19 OCT 2023

Mgeni WETU RASMI NI ENG HERSI SAID



Tunakukaribisha sana mgeni WETU RASMI, na watu WENGINE wote mnaopenda kuhudhuria MAHAFALI haya

Kauli MBIU yetu ni... ELIMU, NIDHAMU NA KUJITEGEMEA


25/09/2023

ELIMU KWA MAFUNZO YA VITENDO

Shule yetu ya ina MAABARA KUBWA TATU,

ya PHYSICS, CHEMISTRY NA BIOLOGY

Lengo letu ni kumfanya mwanafunzi aweze KUJIFUNZA mambo mengi kwa vitendo.

MASOMO kwa Pre Form One Yameishaanza tayari, mlete mwanao Shuleni JITEGEMEE anayetegemea kuanza kidato Cha kwanza mwakani ili asome Masomo yake ya awali.

PIGA SIMU:

0687628616

Follow


08/08/2023

Tunawatakia HERI WAZAZI wote na wanafunzi wote kwenye hii siku ya LEO.

HAPPY NANENANE DAY..

NAFASI za kujiunga na kidato Cha Tano na za kuhamia bado ZIPO

Wasiliana na ofisi ya usajili:

0687628616

Photos from Jitegemee Sec School's post 02/08/2023

Tofauti na Masomo ya kawaida, Wanafunzi WETU wanapata muda wa KUJIFUNZA UJASIRIAMALI pia..

Tunajivunia Mafunzo haya kwani huwaongezea uelewa wanafunzi Kuhusu maswala ya biashara na UJASIRIAMALI..

Karibu JITEGEMEE SEC SCHOOL

0687628616

USAJILI NA NAFASI ZA KUHAMIA BADO ZIPO

Photos from Jitegemee Sec School's post 29/07/2023

UJASIRIAMALI ni jambo muhimu ambalo linafundishwa hapa Shuleni Kwetu,

Hapo kwenye Picha mabinti hao wapo kwenye zoezi la kutengeneza sabuni za Maji.

Vijana wanafundishwa na kupewa UWEZO wa KUJITEGEMEA k**a ambavyo jina la shule yetu linajieleza..


Karibu JITEGEMEE SEC SCHOOL

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
25500