AfyaMedics

AfyaMedics

Share

� Nawasaidia Wanawake kuielewa Miili Yao vizuri.
� Suluhisho sahihi kwa Changamoto za Afya ya Uzazi.

24/04/2026

🚨 Baada ya takribani wiki 2 tangu mimba kutungwa… unaweza kuanza kuona mabadiliko madogo 😳

Lakini si kila Mwanamke anaweza kuona dalili hizi zote mapema ⚠️

Hizi ni ishara za mwanzo kabisa… ambazo Mwanamke anaweza akazipitia 📌

Mwili wa kila mwanamke ni tofauti.

K**a Umejifunza kitu, tushirikishe kwenye comment.....👇

23/04/2026

Dalili za mwanzo kabisa za mimba ndani ya wiki ya kwanza ✅

23/04/2026

🚨Watu wengi wanaamini mambo haya kuhusu PCOS… lakini sio kweli 😳

Na hizi imani potofu ndizo zinawafanya wanawake wengi: — kuchelewa kutafuta msaada
— kujilaumu bila sababu
— na kupoteza matumaini 😔

Ukweli ni huu — sio kila unachosikia ni sahihi ❌

Jifunze ukweli… linda afya yako ⚠️

Ni jambo lipi ambalo ulikuwa unaliamini kuhusu PCOS na sio kweli...?

23/04/2026

🚨PCOS si mwisho wa safari yako ❌

Ndiyo, ni tatizo la homoni… lakini unaweza kusaidia mwili wako kubadilika 😳

Mabadiliko madogo k**a: Lishe bora
Mazoezi
Kupunguza stress

vinaweza kufanya tofauti kubwa kuliko unavyofikiria.

Anza kuchukua hatua kidogo kidogo.

Tushirikishe maoni Yako kwenye comment k**a Umejifunza kitu...na share ujumbe huu uwafikie wengine wengi zaidi ✅

22/04/2026

🚨Hedhi Yako ipo sawa???

21/04/2026

🚨Ni dalili zipi ambazo umewahi kuzipitia kati ya hizi....?

20/04/2026

UNAJUAJE k**a YAI LAKO LIMETOKA....?

20/04/2026

Njia ipi ambayo ni rahisi kwako....?

19/04/2026

🚨Wakati mwingine unajikuta haujielewi kabla ya hedhi…

Leo uko sawa, kesho uko tofauti 😔

Huo SI udhaifu ❌

Ni response ya mwili wako kwa mabadiliko ya ghafla ya hormones.

Jielewe zaidi… utaacha kujilaumu.

Ni mabadiliko gani ambayo wewe huwa unayapata...?👇

19/04/2026

🚨Kuna wakati unajikuta umechoka, umejaa hasira au upo emotional sana… siku kadhaa kabla ya hedhi

Halafu unajiuliza, “kuna nini kinaendelea?” 😔

Ukweli ni huu — mwili wako unabadilika kabla ya hedhi.

Na hizi ni baadhi ya dalili za PMS.

Jielewe zaidi… utaacha kujilaumu.

Umeigundua dalili ipi ambayo kwako imekuwa ikijitokeza mara kwa mara...? 👇

19/04/2026

🚨Kuna wakati kabla ya hedhi… unajikuta umebadilika kabisa 😔

Unakuwa na hasira bila sababu, unachoka haraka, au unahisi tu tofauti…

Na watu wanaweza kudhani ni attitude yako.

Lakini ukweli ni huu — sio wewe… ni PMS ⚠️

Mwili wako unabadilika, na unaathiri hisia zako.

Ushawahi kuhisi Hali hizi ..? 👇

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Tanzania, East Africa
Dar Es Salaam