07/06/2022
Dunia ina watu ovyo sana leo kuna mteja nilikuwa nabishana nae oficen wakati mabishabo yanaendelea si kuna mzee kwa mbali a alikuwa anakuja uku kabeba tv anakuja nayo oficie wkat tunaendelea kubishana yule mzee akawa amefika sisi tukaendelea kubishana tu yule mtu nilie kuwa babishana nae si akalopoka " kuwa mafund wa kweli ni kinyozi tu " mala ghafla yule mzee akabeba tv yake na kuingia chumba chapili ambacho kilikuwa na saluni ya kiume, yule mtu nilie kuwa nabishana nae si akaondoka mimi nikawa namsikilizia yule mzee alie ingua na tv salun atoke nimuudumie, wakat nashangaa shangaa si nikaona mlango umefunguliwa mzee ametoka kanyolewa pala hatari kam kawaida nikaona aji kwangu anapitiliza nayo mpaka kwake, sasa sijui nae kinyoz ali mwambia kuwa sisi mafund waongo sana tv imeisha tu betrii akanunue betri za tiger π€£ππ€
ππππ€π
07/06/2022
Eeeeh! Bwana nataka nikufungue akili fran sielew sana ila maisha ni kushilikishana baadhi ya mambo kati ya mimi na wewe ili mambo yakae sawa sasa iko ivi
Tambua kuwa adui siku zote si wa kumnunia hata kidogo au wa kumuweka mbali na wewe una jua kwann ? π€π€π€π€
Ngoja nikuweke sawa kidogo sikuzote mtu ambae mnakwanzana katka maisha au katika kazi au biashala mtakwazana kwa mambo yafuatayo , (1) kakuhalibia kazi (2) kakuvulugia malerengo (3) kunaele ulikuwa unaitegemea so ujaipata sababu yake ( 4) kakudhalilisha kwa watu ( 5) kakusema vibaya kwa watu ( 6) kakudhalau ( 7 ) snich (8) sio mkweli ( 9) ni mvunja ahadi ( 10 ) ajali ahadi
Unajua nini mpaka mtu anatokea kukuangusha kwa kitu fran maana yake ulimwamini na akaweza kukuangusha bila wewe kutalajia sasa bac unapo patwa na hali yoyote katika malaafiki ulio nao usiwe unashtuka kwanxa unapo pata lafiki inatakiwa (1) usiwasogeze kalibu sana katka maisha yako kukujua kiundani kukujua kiundani inaweza kuleta njia kwako wakatumia k**a mlango wa kushambulia udhaifu wakona ivyo unapopata malafiki inatakia umjue kila mtu ambae unakuwa na ulafiki nae na umfahamu wap ana kosea wap anafaulu na katka mambo yako inatakiwa uwapange kinamba kuna malafiki wamichongo tu coz unakuwa umewajaribu katika michongo na ukawaamin kuna malafiki wa stori tu unaweza kuwapa michongo yako wakawa jau haina maana uwa teme moja kwa moja wana nafasi nyingne kwenye maisha yako zaid ya hapo wakikwama leo kesho wata songa mbele, ivyo yan maisha yako yanakuangalia wewe kwamba nini una amua kwa kila jamba ambao unaitaj kufanikia au kuto kufanikiwa, unauwezo mkubwa wa kufanikiwa ndio maana umepewa utashiii au ufahamu wa kujua sura muonekano na mwelekeoππππ.... nipe like za kutosha k**a umenielewa
26/05/2022
Kwa wakat mwingne ni nzuri kuwa na maamuz binafs ya kuweza kufanya jambo na kujikosoa mwenyewe kuliko kuongozwa na watu alafu kukosolewa na washauli wako, unaweza kujikuta unafanya jambo bila kujua wapi pa kujisimamiaππ€«π€ UKUBWA DAWA
25/05/2022
TUTAFAKALI KWA PAMOJA
Kuna swali huwa najiuliza saha sipatii majibu labda mwemzangu nisaidie sio kisayanzi kiuelewa wako tu, iv umewai jiuliza mwanadamu wa kwanza namna alivyo anza kutembea yaan kujifunza kutembea, unajua kila kitu huwa mwanadamu huwa anaiga so sasa mwanadamu wa kwanza kusimama na kutembea ilikuwaje au alianxaje tusaidiane ?
25/05/2022
Ebwana eeh! Ukiingia ndani kwa watu, ukiona mazingila ya aina hii usiangaike kutoa taadhali,
mfano umeingia ndani kwa mtu au kwa watu mala unakuta hela wanaweka weka ovyo mala simu wanaweka weka ovyo au na vitu muhimu wanaweka ovyo usiangaike kuwa taadhalisha, yaan kuwa ambia waweke vizur vitapotea moja kwa moja ujue nyumba hiyo wanaaminiana so unapo toa taadhali inamaanisha ata kikipotea watajua ni wewe tu umeibwaaaa au umebebaaaa π€£π€£π€£π€£
Siku zote ukiingia ndani kwa mtu ukiona vitu vinakaa ovyo usiangaike na wewe zoea tu hiyo hali
πΉπΏ
23/05/2022
Nisaidieni wadau watu weng wananifananisha na jason wanadai nafanana nae, kuna kufanana kwel hapoπ€
19/05/2022
Katika maisha, ukitaka ufanikiwe usimwangalie mtu, sababu ata uyo unae muona kuwa uwenda yupo sahihi yeye ukimfata kumuuliza kuusu mafanikio yake au namna alivyo toka kimaisha atakuona kuwa haupo sahihi na ukiamua kufanya jambo lako ukienda kumuomba ushauli atakuambia haupo sahihi katika ulalo lifanya, chamsingi ukitaka kufanikiwa kimaisha fanya ujione sahihi au jione kiwa upo sahii kwa unacho kifanya au unacho taka kukifanya, na tambua hakuna mtu anae weza kukufanya ukawa sahihi zaid ya wewe mwenyewe kuwa na maamuzi sahihi π