𝗕𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗜𝗡𝗗 𝗗𝗥𝗘𝗔𝗠 𝗞𝗜𝗗𝗦 𝗦𝗖𝗛𝗢𝗢𝗟

𝗕𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗜𝗡𝗗 𝗗𝗥𝗘𝗔𝗠 𝗞𝗜𝗗𝗦 𝗦𝗖𝗛𝗢𝗢𝗟

Share

Discover.learn.become

11/12/2025
07/12/2025

Kipindi cha krisimasi...ukiwa unatafakari namna utachagua shule sahihi ambayo itakuwa bora kitaaluma na gharama nafuu za Ada.

Usikose kufuatilia . Kwani ni shule ambayo itakusaidia kumaliza utata wa mawazo yako.

Wasiliana nasi 0787260921/0750640282.

Tupo Dar es salaam -chanika Buyuni kigezi.

07/12/2025

Come to get together 2026.

05/11/2025

Vijana wanasoma bila wasiwasi.
Mlete kijana wako apate elimu bora. Endelea kufuatilia post zetu.

05/11/2025

Tunaendelea kuandikisha wanafunzi wa darasa la kwanza mwaka 2026.

Wazazi tunawakaribisha bili mind
Tupo BUYUNI kigenzi.
0750640282.

Photos from 𝗕𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗜𝗡𝗗 𝗗𝗥𝗘𝗔𝗠 𝗞𝗜𝗗𝗦 𝗦𝗖𝗛𝗢𝗢𝗟's post 05/11/2025
Photos from 𝗕𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗜𝗡𝗗 𝗗𝗥𝗘𝗔𝗠 𝗞𝗜𝗗𝗦 𝗦𝗖𝗛𝗢𝗢𝗟's post 05/11/2025

BILI MIND NI SEHEMU MTOTO AKIWEPO HUJISIKIA AMANI.

TUNA MICHEZO INAYO CHECHEMUA AKILI NA SIO BEMBEA.

21/01/2025

Tunawakaribisha wazazi walezi wanaoishi mjini Chanika; sisi tunapatikana kwenye kata ya Buyuni mtaa wa kigezi juu.
Tunapokea watoto wa day care na msingi mwaka mmoja (1) kwa day care
Primary kuanzia Darasa la kwanza hadi la tatu
Karibuni mpatie mtoto wako elimu bora ya malezi na taaaluma Bora kwakumuandikisha Bili mind dream kids school.

Ada zetu ni nafuu na unalipa awamu (4)

Wasiliana nasi kupitia namba hizi 0719609969 au 0787260921

19/01/2025

❤️❤️🎯
Karibu

Tangazo letu mpya la shuleni unalipa asilimia ngapi ???

Usisahau kutu follow on.

Tunawatakia weekend njema.

Na maandalizi ya shule jumatatu.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Chanika Kigezi Juu
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 16:00
Tuesday 07:00 - 16:00
Wednesday 07:00 - 16:00
Thursday 07:00 - 16:00
Friday 07:00 - 15:00