Je umehangaika na P.i.D kwa MdA mrefu??,kutokwa na harufu mbaya ukeni,miwasho na fangasi sugu??
Taarifa hii itakuwa ni taarifa muhimu kuwahi kutokwa katika maisha yako.
Baada ya kuwasaidia wanawake wengi nimeungua kuwa wanawake wengi wenye changamoto hii huwa hawajui nini chanzo cha Tatizo jambo ambalo ukilifahamu utaondokana na tatizo hili mara moja bila kutumia gharama kubwa
Nimekuandalia darasa la kipekee la WhatsApp tutakupa njia za Asili za kuondoka na Kero hii na za kitaalamu zitakazorejesha furaha yako k**a mwanamke na kuondokana na Tatizo hili milele
Jiunge na darasa letu la WhatsApp leo upatiwe mafunzo BURE kwa kubofya kitufe hapo chini
Dr Jamilah
Mwenye kujali furaha yako ewe mwanamke
Tiba Asilia
Nawasaidia wanawake kuondokana na Kero ya Harufu mbaya ukeni
UJUMBE MUHIMU kwa WANAWAKE wenye Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni,UTI sugu PID na fangasi
K**a wewe ni muhanga WA matatizo tajwa hapo juu ambae umekuwa ukihangaika kwa Mda mrefu bila kupata utatuzi WA uhakika WA Tatizo Lako bac naomba unisikilize kwa makini huenda taarifa ifuatayo ikawa taafira njema kuwahi kutokea katk maisha yako
Baada ya kuwasaidia wanawake wengi wenye Tatizo la Kutokwa na harufu mbaya ukeni fangasi. Sugu UTI na PID nimegundua kuwa wanawake wengi wenye changamoto hizi huwa hawajui nini Chanzo cha Tatizo Jambo ambalo ukilifahamu utaondokana na tatizo mara moja bila kutumia gharama kubwa
K**a unapenda kupatiwa ushauri WA bure au kupata mafunzo jinsi ya kuondoka na tatizo Lako mara moja na kutokuridi milele karbu kwenye jukwaa letu la WhatsApp ambalo utapatiwa mafunzo bure kabisa hatimae furaha yako ya mda mrefu itarejea Naomba tuma Ujumbe WhatsApp neno Niunge kwenda namba 0612471783
Ofa hii ya kupata ushauri bure pamoja na mafunzo bure ni kwa watu 10 WA mwanzo fanya booking sasa ili usije ukapitwa na ofa hii
β€MITINDO YA MAISHA INAVYOATH
β€MAMBO 11 AMBAYO MWANAMKE HATAKIWI KUYAFANYA KWENYE UKE WAKE.
Ni muhimu kuufahamu mwili wako. Hasa hasa sehemu zako za siri.
Sehemu za siri za mwanamke ni tata sana kutokana na heshima yake. Mwanamke akiweza kutunza uke wake ni jambo la maana zaidi kwa afya yake.
Yafuatayo ni mambo 11 ambayo mwanamke hatakiwi kufanya kwenye uke wake;
π1. USIPAKE VITU VITAMU UKENI:
Baadhi ya wanawake husema kuwa kuweka sukari au asali ukeni kunaongeza ladha ya tendo la ndoa kwa mwanaume. Usifanye hivyo!
Kwasababu uke unajisafisha wenyewe, hivyo kuweka sukari au asali ukeni kunaharibu Uwiano sahihi wa nyongo na tindikali ( pH balance ) uliopo ukeni hali itakayopelekea kupata maambukizi ya kuvu ukeni ( fangasi ukeni ).
π2. USITUMIE MAJI YA JOTO AU YA BARIDI SANA KUSAFISHA UKENI:
Wakati wa kuoga hakikisha, ukeni usitumie maji ya joto sana. Kutapelekea kukauka hatimaye michubuko. Maji ya uvuguvugu yanafaa.
π3. MAPAMBO :
Usiweke mapambo ya aina yoyote ukeni.
π4. EPUKA KUVAA NGUO ZA KUBANA:
Kila mwanamke ana angalau pea moja ya suruali ya kubana ( skinny jeans ) kwenye kabati lake la nguo.
Lakini sidhani k**a kuna anayefahamu kuwa nguo za kubana zinaumiza uke wake.
"Kila kitu ni kizuri tu kwa kiasi kikizidi ni tatizo"" (Everything is only good in moderation,) anasema Dr. Ava Shamban, daktari wa magonjwa ya wanawake.
" βNguo za kubana zinapovaliwa mara kwa mara zina madhara k**a vile kuvu ukeni ( fangasi ) au magonjwa mengine ya ngozi yanayotokana na mgandamizo ( kitaalamu huitwa "Pressure acne"").
Ni vigumu kuacha kuvaa nguo za kubana lakini epuka kuvaa mara kwa mara.
π5. UCHAFU:
Wanawake wengi hutumia uume wa midoli k**a njia mojawapo ya kujifikisha kileleni. Lakini siku zote hakikisha unasafisha chochote unachokiingiza ukeni. Hata k**a ni kidole chako mwenyewe.
π6: USITUMIE VILAINISHO UKENI:
π7. USITUMIE SABUNI ZA MARASHI UKENI:
Wanawake wengi wana harufu mbaya ukeni, hivyo hutumia sabuni za marashi wakidhani kuwa kufanya hivyo ni kumaliza tatizo.
Kusafisha uke kwa kutumia sabuni za marashi kunapelekea maambukizi na michubuko kutokana na kemikali zilizopo kwenye sabuni hizo.
Harufu mbaya ukeni mara nyingi hutokana na vyakula unavyokula.
π8. USIJIPULIZIE MARASHI UKENI:
π9. USIJITIE VIDOLE UKENI KWA LENGO LA KUJISAFISHA: (DOUCHING)
Uke unajisafisha wenyewe.
π10. USIJIKUNE:
Ingawa kuna wakati uke unawasha, lakini usijaribu kujikuna.
Unaweza kupata mchubuko.
Sababu zinazopelekea kujikuna ukeni ni pamoja na maambukizi ya bakteria ukeni ( bacterial vaginosa ), kuvu wa ukeni, ( fangasi ), na magonjwa mengine ya ngozi.
π11. USITUMIE GUGO (GOOGLE) KUJITIBU MAGONJWA YA UKENI:
Siku hizi watu wengi hupenda kujitibu wenyewe kwa kutumia Gugo.
Usifanye hivyo! Nenda kwa daktari kapate tiba na ushauri wa kitaalamu.
Kwa ushauri tuma Ujumbe WhatsApp 0612471783
Pata suluhisho la Tatizo lako kwa kupata mafunzo ya bure jinsi ya kuondokana na tatizo Lako karbu ktk group letu la WhatsApp 0612471783
22/10/2023
ZIJUE AINA ZA UCHAGU UNAOTOKA UKENI
Maana ya aina mbalimbali za uchafu unaotoka ukeni
Maana ya aina mbalimbali za uchafu unaotoka ukeni
Najua leo sio mara yako ya kwanza kuingia kwenye mtandao ukitafuta sababu za uke kutoa uchafu mweupe.
Aidha, nafahamu kuwa unayo hamu pia ya kufahamu maana ya uchafu huu. Twende pamoja.
Uke ni miongoni mwa viungo vyenye sifa ya kipekee sana.
Kimetunukiwa uwezo wa kujisafisha kuanzia ndani, kisha kuutoa uchafu wote nje kila siku.
Ni viungo vichache sana vyenye uwezo k**a huu. Mfano wa kiungo kingine ni sikio.
Mbali na kutoa uchafu, uke hutoa pia ute mzuri, pamoja na majimaji ambayo mengine huwa mazuri kwa afya, huku mengine yakiwa na maana mbaya kwa afya.
1. Uchafu mweupe
K**a maziwa, mzito
Uchafu wa aina hii huwa na maana tatu.
Ujauzito
Siku zenye uwezekano mkubwa zaidi wa kupata ujauzito
Magonjwa
Mwanamke anapokuwa na ujauzito, mwili wake huanza kutengeneza namna mbalimbali za kujilinda.
Mojawapo ya njia hizo ni kutengeneza ute mzito wa aina hii ili kuhakikisha usalama wa mtoto. Hauna maana mbaya kwa afya, pia mara nyingi huwa hauna harufu kali au mbaya. Ni kawaida. (1)
Hivyo ute huu ukitoka huku unatoa harufu kali, au ukiwa na rangi za manjano, kijani au brown unapaswa kwenda hospitalini haraka. Hii ni hatari.
Baadhi ya wanawake huuona uchafu wa aina hii pia wawapo kwenye siku zenye uwezekano mkubwa zaidi wa kupata ujauzito kila mwezi. Wanapaswa kufahamu kuwa hali hii ni kawaida kwao, ikiwa haiambatani na miwasho, rangi au harufu mbaya.
Maana ya tatu ya uwepo wa aina hii ya uchafu ni uwepo wa maambukizi hasa ya bakteria. (2, 3)
Huambatana na harufu kali na miwasho. Hali hii haipaswi kupuuzwa, siyo kiashiria kizuri kwa afya.
K**a unga, unapukutika au umeganda
Uke siyo ghala la mahindi au nafaka za aina yoyote ile. Uchafu wa aina hii haupaswi kutoka kabisa wakati wowote ule.
Ni ishara ya uwepo wa maambukizi ambayo mara nyingi husababishwa na fangasi jamii ya Candida albicans.
Kwa lugha maarufu zaidi mtaani hujulikana k**a yeast infection.
Mara nyingi uchafu wa aina hii huambatana na miwasho ukeni, kuvimba kwa mashavu ya uke, maumivu wakati wa kukojoa pamoja na maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
Uchafu huu unaweza kuwa mkavu sana k**a unga, unaweza pia kubadilika rangi kuwa wa kijani au manjano baada ya muda fulani. (4, 5)
Ni muhimu kufanya vipimo ili dawa sahihi ziweze kutolewa. Magonjwa mengine pia hasa PID huwa na dalili hii
2. Aina nyingine za uchafu
K**a yai, unavutika
Ute wa aina hii huwa hauna maana mbaya. Ni ishara ya uimara wa afya ya uke, pamoja na mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke.
Unaweza kuonekana kwenye siku zenye uwezekano mkubwa zaidi wa kupata ujauzito, au siku chache kabla ya hedhi.
Husaidia pia kusafisha mfumo wa uzazi kwa kutoa bakteria na vimelea vingine vya magonjwa ambavyo ni hatari kwa afya.
K**a maji, mwepesi
Ni kawaida. Unaweza kutokea muda wowote kwenye mzunguko wa hedhi.
Kwa baadhi ya wanawake huonekana kwa kiasi kikubwa baada ya kazi ngumu, au pale wanapokuwa wanafanya mazoezi.
Brown au damu
K**a uchafu huu unatokea baada ya hedhi ni sawa. Ni mabaki ya damu na uchafu.
Ikiwa itatokea katikati ya mzunguko wa hedhi inaweza kuwa ni ishara ya uwepo wa ujauzito au kuharibika kwa ujauzito ambao pengine ulitungwa pasipo uelewa wa mwanamke mwenyewe.
Katika mazingira machache kabisa, inaweza kuwa ni ishara ya uwepo wa saratani ya mji wa uzazi au mlango wa uzazi, pia uvimbe wa aina yoyote kwenye mfumo wa uzazi.
Manjano au kijani
Siyo ishara nzuri. Inaweza kuwa ni dalili ya kisonono, kaswende, klamidia, trichomoniasis pamoja na magonjwa mengine ya zinaa.
Huambatana na harufu kali ambazo humfanya hata mgonjwa mwenyewe apate wakati mgumu kuzivumilia.
Ute au uchafu wa aina hii unaweza kuwa unavutika k**a k**asi, mwepesi kiasi k**a maji au unaweza kuwa mzito.
Siyo sawa.
Muhtasari
Mwili wa binadamu huwa na namna nyingi za kuzungumza ili kuonesha kuwa baadhi ya mambo hayapo sawa.
Mojawapo ya njia hizo ni kutoa uchafu, au ute wenye rangi mbalimbali pamoja na harufu kali.
Mazingira yoyote yanayojengwa na uchafu au ute huu yanayokufanya upoteze uhuru wako lazima yatiliwe mashaka.
Huo ni wakati sahihi wa kupima na kupata tiba sahihi
Tumekuandalia darasa zuri kwaajili ya jinsi ya kuepuka Hali hii darasa ni bure kwaajili Yako
πΉπΏ0612471783

Tumekuandalia darasa zuri kwaajili ya jinsi ya kuepuka Hali hii bure kabisa. 0612471783
27/09/2023
Nawasaidia wanawake kutokomeza harufu mbaya ukeni ndani ya siku Saba Ungana nami hatua kwa hatua
1)APPLE CINDER VINEGAR
Ni Vinegar ambayo imejaa viini vya anti bacteria na antiseptic ambavyo vitakusaidia kupambana na harufu mbaya ukeni
Chakua kiasi Kidogo cha vinegar na uchanganye na maji kwa uwiano WA 1/10 na uishe sehemu ya uke.
2)BAKING SODA
Baking soda inaweza kutumika ila kubalansi pH kwenye mwili.ukibalansi pH basi Tatizo la harufu mbaya litakuwa lishaiaha..chukua kiasi cha kijiko kimoja cha baking soda na uweke katika Ndoo ya maji jagi moja changanya vizur kisha Osha sehemu ya uke kwa dakika 5 ukimaliza jifunze vizur na kitambaa safi maeneo yote hakikisha usiache unyevunyevu fanya zoezi hii kwa wiki mara 2 usizidisha
3)KITUNGUU SWAUMu
Kitunguu swaum kinafahamika toka miaka ya zamani kuwa kinaimarisha kinga ya mwili na kupambana dhidi ya maambukizi ya bacteria fangasi.Kula punje moja ya kitunguu swaumu kila siku kwa MDA WA wiki moja
4)MATUNDA NA MBOGA MBOGA
Matunda yote yenye Asili ya uchachu uchachu k**a Machungwa mapera na straw berries Yana vitamin c ambayo husaidia katika kuimarisha kinga ya mwili na utoaji WA sumu mwili.chakula k**a parachichi na mbogamboga za kijani zina vitamin B6 na madini ya potassium ambayo huongeza hamu ya tendo la ndoa na kujenga kuta za Ike hivyo kusaidia kupunguza hatari ya maambukizi ya mara kwa mara.
5)KARANGA NA MBEGU
Karanga na mbegu katika mlo wako WA kila siku ni nzuri kwa sababu huzuia kukauka kwa uke kwa sababu kwenye KARANGA kuna vitamin E kwa wingi.unaweza kutafuna karanga,mbegu za maboga Almonds na Alzeti
6)MAJI SAFI YA KUNYWA
kuingia hichi cha uke kinatishu laini hivyo unahitaji Kunywa maji mengi na safi ili kupelekea uke iendelee kujisafisha na hivyo husaidia kuondokana na harufu mbaya ukeni.unashauriwa unapopata kitu usinywe soda Kunywa maji ya kutosha
K**a umependa makala hii naomba nisaidie kucoment na kushare kwa wengne ili wafaidike pia k**a Utapenda kuongozwa hatua kwa hatua jinsi ya kuondokana na harufu mbaya ukeni baada ya siku Saba tunakukaribisha katika group letu la WhatsApp ambalo utapatiwa mafunzo haya bure kabisa fuata link hapo juu.Asanteni Sana.
25/09/2023
HARUFU MBAYA UKENI
HARUFU MBAYA ukeni ni topic ngumu Sana kuongeleka hii ni kutokana na wanawake kuona aibu kihisi ni Hali mbaya kwa mtu mwingine kuifahamu
UTUNZAJI WA UKE NA USAFI
Kutunza ukeni ni Jambo muhimi Sana kwa wanawake,ukiona unatokwa na harufu mbaya mbaya basi jua unaumwa Afya yako haiko sawa Hali hii huathiri Sana heshima ya MWANAMKE na heshima ya mwenza wake
HARUFU MBAYA ukeni kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi WA candida japo sio mara nyingi Ndio maana kuna umuhimu WA kutafuta Chanzo cha kunuka uke.Uke hujisafisha kutoa vimelea wabaya lakin pale unapoona unatokwa na harufu Kali mfano WA shombo la samaki jua kuna Tatizo
VISABABISHI VYA KUTOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI
1)Ukuaji wa Bacteria (bacterial vaignosis) sababu namba moja inayopelekea kunuka kwa uke ni ukuaji wa bacterial vaignosis usio WA kawaida ambayo hupelekea uke kutoa harufu kali kujua kwa bacteria hawa wabaya no pamoja na kubadilika kwa mazingira ya uke na kushuka kwa kinga bacterial vaignosis husababishwa kuharibika kwa mimba,kujifungua kabla ya wakat na hata kuongezeka kwa hatari ya kupata magonjwa mengne ya ngono ,Dali zinazoonesha kuwa tiyari unamaambukizi haya ni kutokwa na uchafu mzito ukeni unaoambatana na harufu kali
2)TRICHOMONIASIS
TRICHOMONIASIS ni moja ya ugonjwawa ngono unaopelekea Kutokwa na harufu Kali ukeni ugonjwa huu husababishwa vimelea ukiambatana na harufu Kali ukeni,kuwashwa na maumivu makali ya kukojoa .Ugonjwa huu hupelekea mimba kutoka na kujifungua kabla ya wakati
3)MABADILIKO YA HOMONI
Mabadiliko ya homoni hotokana na mzunguko WA hedhi na hii hupelekea uke kutoa harufu kali wanawake wengi wanaokaribia kokoma kwa hedhi wapo katika hatari hii ni kutokana na kupunguza kwa homoni ya estrogen
4)KUTOKUZINGATIA USAFI NA KUTOKWA SANA NA JASHO
Ni wazu kwamba uchafu na kuwepo kwa unyevunyevu ukeni husababishwa harufu kali
5)KUVAA PEDI KWA MASAA MENGI
Pedi inapovaliwa kwa MDA mrefu hupelekea ngozi kucharuka,kututumuka ,kuwasha halii hii inachangia kukua kwa bacteria Wabaya na Ndio Chanzo cha harufu.
HATUA 6 ZA KUJIKINGA DHIDI YA HARUFU MBAYA UKENI
1)Vaa nguo za ndani Safi za pamba na zisizobana
Nguo zinazobana zinappeleka kushindwa kupita kwa hewa kuelekea ukeni hivyo kusababisba unyevunyevu ambayo Ndio mbolea ya kukua kwa bacteria wabaya na fangasi wanaoleta harufu kwenye uke.Hakikisha unabadilisha chupi kila baada ya masaa 12
2)Badilisha nguo zako kila baada ya kufanya mazoezi.nguo zenye unyevunyevu ni mbolea kwa bacteria hivyo ni vizur Kuvaa nguo zilizokauka na uhakikishe unabadilisha kila unapotoka mazoezin
3)Punguza uzito k**a inawezekana
Uzito mkubwa na Kitambi vinakufanya utokwe na Jasho na Ndio Chanzo cha unyevunyevu k**a tulivonifunza hapo juu Jasho na unyevunyevu husababishwa kutokwa na harufu mbaya
4) Epuka kutumia spray na marashi ukeni.Ukweli ni kwamba ngozi ya uke ni laini Sana hivyo ni rahis kunyonya kemikali za spray na kuingia ukeni kumbuka kuwa uke huwa unajisafisha wenyewe unapoogeza kitu kingne cha ziada kinapelekea uke kutoa harufu
5)Epuka kuflash uke mara kwa mara.kusafisha uke mara kwa mara hasa kwa kutumia sababu na kemikali hupelekea kuharibu kwa mazingira ya bacteria wazur wanaolinda uke hivyo kuacha nafasi bacteria kushambuliwa na kupelekea fangasi na Ndio Chanzo cha harufu.....
k**a umependa makala hii naomba unisaidie kuisambaza kwa kushare na wengne wafaidike. Na mafunzo haya .
Pia K**a Utapenda kupata mafunzo yetu unakaribishwwa katika group letu la WhatsApp utapata mafunzo bure kabisa Njia za kuondokana na tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni Nitumie Ujumbe Nitakuunga ktk group letu KARIBUNI na asanteni sana.
Click here to claim your Sponsored Listing.