msikilizaji1

msikilizaji1

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from msikilizaji1, Education, Dar es Salaam.

23/08/2024

“Yanayotokea Ngorongoro tunaomba Serikali irudi katika meza ya mazungumzo. Isiwalazimishe wala kuwakosesha huduma muhimu za jamii au kuzuia chakula kuwafikia. Pia wapewe haki yao ya kupiga kura” Askofu Wolfgang Pisa, Rais Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania (TEC)

15/01/2024


Yeyote anayetafuta rafiki asiye na madhaifu ataishi maisha ya upweke. Yeyote anayemtafuta mwenza (mpenzi) asiye na shida na mapungufu ataishi akitafuta milele. Na yeyote anayetafuta ndugu ambaye ni mkamilifu ataishi maisha ya kukata mahusiano.

29/06/2023

Watu wengi wanaishi na makovu yanayotokana na kuumizwa kwa namna moja ama nyingine katika harakati za maisha. Dawa ya maumivu na makovu hayo ni kusamehe ambalo nalo sio jambo rahisi. Msamaha ni dawa kwa anaye samehe kuliko anayesamehewa!

21/06/2023

Kuna story nilipigiwa na this lady mwenye anakuanga arif wangu tangu tukiwa wadogo. So alinichapia kuwa alikuwa anadate jamaa flani broke. So the woman juu alikuwa na pesa, she used to spend on the guy, alikuwa anamlipia rent na kumfanyia kila kitu. Dem aliamua kusupport her man hata k**a hana dooh.
Imefika mahali boy hadi akajuana na beshte wa huyo dem wake, huyo beshte alikuwa ameiva na alikuwa wa madooh pia. After a while boy alibreak up na manzi wake. Good thing waliachana in peace bila drama lakini dem alikuwa amepea boy loan ya 15gs before waachane
Kijana went ahead na akaanza kudate huyo beshte wa ex wake chini ya maji😂. So the guy alijibenefit tena na kutumia pesa ya huyo dem alafu akachukuwa loan ya 25gs na kubreak up na huyo dem wa pili😂🤦🏽‍♂️. Saa leo hawa madem wawili wamepatana na huyo wa pili alikuwa anachapia the first lady vile amepea boy loan ya 25k na akamdump. Dem wa kwanza akaitisha pic ya boy ndo aone ni nani akashtukia ni ule jamaa walikuwa wanadate na akaenda na 15k yake😂😂😂. Sahi wanaplan vile wataanika huyo boys na already adhajibenefit😂😂🤦🏽‍♂️

21/08/2021
Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Dar Es Salaam