07/02/2025
85000 kubwa kg 3 kg 2 kg 1 nzuri mnooo mnooo boss zangu
0754 983801
Ungana nasi tupunguze uzito kiafya bila kutumia dawa ya aina yeyote Ile..inawezekana kabisa.
07/02/2025
85000 kubwa kg 3 kg 2 kg 1 nzuri mnooo mnooo boss zangu
0754 983801
28/05/2024
Hebu fanya jambo kwa umpendae..
Hivi mnajua kitenge kina upendo flani hivi ambao aulinganishwi na kitu Kingine ..
Kwa kusema hivyo
Naomba mnunulie umpendae
Ni elfu 30 tuu
Vipo vingi ukihitaji nakutumia picha unachagua
0754983801
25/03/2024
Kunyonyesha tuu si kazi rahisi hasahasa k**a hushindi nyumbani unatoka kwenda kwenye mihangaikooo..inahitaji moyo ..utayari wa ndani kabisaaaa.. wale tunanyonyesha na kukamua mnaendeleaje huko bado miez mingapi mtoto afunge 6 ..mtatoboa 6 bila kumpa kituuuu ??? Mim bado napambana tunakimbizia miez 5
24/03/2024
Kundi lipo ma watu wanaendelea na mapambano ya kupunguza uzito kiafya .
Karibu
0754983801
Nawe ujiunge
23/03/2024
Client plate
0754983801
Karibu tupunguze uzito kiafya
29/02/2024
Nidhamu nidhamu nidhamu kwenye kula
Na kwenye kufanya mazoez wewe kupungua ni swala jepesi sana
13/02/2024
Hata wewe unaweza Anza leoooo
Usiogope garama utakula vyakula vinavyopatikana kwenye mazingira yako Sawa eeh
Karibu sasa ungane nasi upunguze uzito kiafya
08/02/2024
Kwenye picha ni mimi mwenyewe
Kiufupi nakufundisha kitu ninachokijua
Nawakaribisha tupunguze uzito kiafyaa
0754983801
What's app
06/02/2024
Wale wa hivi
Yaani mim kitambi changu nikuambie tuuu
Kwanza hakiniumii..hakiniwashii..wala hakininyimi rahaaa..
Nawasalimia
Vipi 2024
Mtaungana nasi tupunguze uzito kiafya au bado mpoo na sera yenu??
0754983801
What's app
Tupunguze uzito kiafya
06/02/2024
Tunakula... tunashiba...tunapungua .tunapendeza..na hatutumii dawa ya aina yeyote..
K**a bado hujajiunga nasi chakua no uje what's app
0754983801
31/01/2024
Siku zote mimi ni mwalimu ambaye nampongeza mwanafunz wangu hata k**a amepunguza 0.5kg yaani naamini siyo Sawa na bure Kuna kitu amepunguza....
Kwa hiyo wewe unaepambana na kupunguza uzito kiafya usikate tamaa kwa kuona unapunguz kg chache kwa mwez nakuambia tuu ukitoa hata 3 kwa mwez jipongeze umepiga hatua..hebu ona futa la kilo 2.5 lilivyo kubwa
28/01/2024
Yaani k**a wewe bado hujajisajili na challenge ya ya mwez wa pili nikuambie tuu utapitw na mengi .ona watu walivyoamua kujikoki kwa kununua vifaa vya kufanyia mazoez hii inaitwa n Vita muraaa ya kupunguza uzito muraaa watu wanataka kuwa portable muraaa utabaki wewe tuu unayejihurumiaaa..
0754983801
Njoo what's app nawe uwe mmojawapo tupunguze uzito kiafya
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |