Klub A-Z

Klub A-Z

Share

A community of positive-minded people

14/06/2026

Bamdogoo👨🏾‍🦳 anasema ishi na watu vizuri, mjini kuna vishawishi vingi ✍️

🎥: MWENYEKITI WA MAWINGA😎😎

13/06/2026

MWENYEKITI WA MAWINGA😎😎 anasema:

1️⃣ Mungu anaweza kukunyanyua kutokea popote, ulipo - hata mkoani.
2️⃣ Acha kutafuta sapoti kutoka kwa mastaa. Fanya KAZI, mastaa watakuja tu wakiona KAZI yako.
3️⃣ Pambana ku-maintain KAZI yako, usipitwe.
4️⃣ Heshimu waliokutangulia kwenye game, bado una mengi ya kujifunza ✍️

SWALI | KAZI | JIBU ⚡

🎥: Bamdogoo👨🏾‍🦳

07/06/2026

Chanzo chako cha taarifa ni kipi? Je kinakupa taarifa sahihi zitakazokuwezesha kufikia malengo uyatakayo?

Taarifa sahihi = success ✅

06/06/2026

Mabadiliko SAHIHI lazima yalete mshangao. Wengi wamekuzoea hivyo ulivyo, lazima wakushangae ukiwa-prove wrong.

Positive change is possible only when you decide to make it possible 🙌

04/06/2026

Ndiyo una malengo... Mengi tu! Lakini umejiuliza k**a wewe wa sasa ni mtu SAHIHI wa kutimiza hayo malengo?

01/06/2026

K**a ukweli huu unakuudhi, basi una safari ndefu sana 🙌

Tag MTU unayehisi anafaa kuusikia 🙏

Wewe ndio BABA, MAMA, MJOMBA. SHANGAZI, KAKA, DADA, RAFIKI na kila kitu kuhusu maisha yako ✍️

Hata wakikusaidia mara nyingi huwa ni kutimiza tu kile ambacho jamii imewafanya wakione k**a WAJIBU WAO, lakini hakuna MTU ANAYEJALI kuhusu maisha yako, huo ndio ukweli mchungu sana 😱

30/05/2026

“Mindset” ni namna akili yako ilivyozoea kufikiria kuhusu maisha, kazi, pesa, changamoto na hata wewe mwenyewe.

Ukisema:

“Siwezi.”
“Haiwezekani.”
“Mimi sio wa hivyo.”

Hiyo nayo ni mindset.

Na ukisema:

“Nitajifunza.”
“Nitaanza kidogo kidogo.”
“Nitatafuta njia.”

Hiyo pia ni mindset.

Watu wawili wanaweza kupitia hali moja kabisa…

Mmoja akaona mwisho.
Mwingine akaona mwanzo.

Tofauti yao mara nyingi sio elimu, pesa au connection…
Ni mindset. 🧠

28/05/2026

Mara ya mwisho "umepigwa kitabu" pale ofisini kwenu ni lini? 🤔

25/05/2026

Eti "mkono una thamani kuliko mwanamke" 😂

Hapa mmemuelewa Mwalimu ama mnahitaji somo refu refu 🤣

24/05/2026

Uko tayari ukae nyumbani mwaka mzima bila ajira au kazi yeyote ile, usiingize hela wala ujuzi, au uende mahali ukajitolee angalau uongezee ujuzi, uzoefu na maarifa zaidi kwenye career yako uweze kufanikiwa hapo baadae?

UCHAGUZI NI WAKO 🙌

SWALI. KAZI. JIBU ⚡

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Dar Es Salaam