Teacher love

Teacher love

Share

USHAURI WA MAPENZI NA ELIMU YA NDOA

02/10/2021
09/02/2021

Katika maadili ya ndoa na kujistili kwamba maumbile ya mwili wako utakiwi kuyaonesha wazi sababu umeolewa ni ya mume wako tu sio unapost picha mtandaoni umegeuka nyuma watu waone mtuno wa makalio tako wakati wewe ni mke wa mtu na unaijua dini ..

Aise wanawake wanaoijua dini katika kujistili kati ya wanawake wa kislam na kikiristo wanawake gani wakiijua duni vizuri wanatambua mwili wake ni wa mume wake na autakiwi uwe wazi mbele za watu au mtandaoni

naomba maoni yako na ambatanisha na elimu ili wajifunze au mafunzo ya imani yanawaambia ni sawa tu kutojistili tatizo liko wapi

08/02/2021

Mambo zenu

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

HIMO
Dar Es Salaam
UPENDONITUNDALAROHO