28/11/2025
Karibuni sana Yellowstone schools..namba za simu 0713830629 tunaendelea kupokea wanafunzi wapya
Yellowstone nursery & primary school is located at
Pugu majohe kichangani..near kwa mustafa or ķig
28/11/2025
Karibuni sana Yellowstone schools..namba za simu 0713830629 tunaendelea kupokea wanafunzi wapya
05/11/2025
Hongereni sana kwa kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba mtihani wa taifa…Kati ya wanafunzi 38 A-30 B-8…Karibu sana Yellowstone school kwa elimu bora ya mtoto wako
27/06/2025
Baada ya kutembelea maeneo mbalimbali bagamoyo walipata wasaa wa kula kuogelea na kuendelea kufurahia safari
27/06/2025
Walipata kutembelea maeneo mbalimbali ikiwemo makumbusho ya utumwa ya caravan serai,ikulu ya mjerumani,mji wa kihistoria wa kaole,historia ya kanisa katoliki,mbuyu wa kwanza kabisa kupandwa,kaole snake park n.k
04/01/2025
Hongereni sana kwa matokeo mazuri shule yetu..ushirikiano kati ya wanafunzi walimu na wazazi hakika umezaa matunda..Karibuni sanaa
01/11/2024
Hongereni sana shule yetu kwa matokeo mazuri ya Darasa la 7 mtihani wa taifa..Tumekua Daraja A-yani “Bora”. A-22 B -8 Uandikishaji unaendelea Chekechea mpaka la saba
☎️ 0713830629
29/10/2024
Hongereni sana shule yetu kwa matokeo mazuri ya Darasa la saba mtihani wa taifa..tumekua Daraja A-yani “Bora”…Asante Mungu ….karibu sana uandikishaji unaendelea Chekechea mpaka la saba
Wastani A-22 B -8
30/09/2024
Karibuni sana -0713830629
16/09/2024
11/09/2024
May God guide the seventh graders as they begin the national exams today...
Mungu akawaongoze darasa la saba wanapoanza mitihani yao ya taifa leo…
04/06/2024
Wanafunzi wapya karibuni sana 0748777000 na 0713830629