Performance, Leadership, Auditing and Value for Money Consulting

Performance, Leadership, Auditing and Value for Money Consulting

Share

The page is about a day to day improvement and studying about leadership issues

21/08/2024

Joy! Thank you, Almighty God, for granting me one extra year to live in this world.

03/01/2023

What does being a leader mean to you?
What are the first 2 words that come to mind when you think about being a leader?

05/03/2022

Leadership is not about gaining followers—it is about pursuing purpose. Leadership is not about manipulating people—it is about inspiring people...Leadership is not about having power over people—it is about empowering people.....Leadership is not about controlling others—it is about serving them.-Myles Munroe

12/11/2019

Everything that happened in my life produced me, even the negatives, even the things that I made mistake, even the things that I failed, they were fantastic classroom for me. I believe the best thing in life to do is not to regret and try to change what happen but to interpret properly, maximize and use it to serve other people that is what I want to do with my past-Myles Munroe

Photos 25/10/2019

MAMBO SABA YA KUYAEPUKA WEWE K**A KIONGOZI

1. ULAFI, ULEVI WA MADALAKA (KUJI-MWAMBAFY).
Hii tabia ambayo kiongozi unakuwa unashikilia kazi zote. Unafualtilia hata mambo madogomadogo. Haukaimishi wala hautaki kusaidwa. Kila kitu una complicate na kufanya mambo yawe magumu bila sababu za msingi. Yaani unapenda kufanya micromanagement, hata pale isipstahili pia haupendi kudelegate.
2. KIBURI – UNAJIJALI WEWE MWENYEWE, SIO MUUNGWANA NA UNADHARAU WATU NA UJAIONA WEWE NI BORA KULIKO WENGINE
Hausikilizi wengine, haumwamini mtu yeyote, Unashindwa hata tambua kazi ya watu wako

3. KUPENDA FEDHA NA KUJILIMBIKIA MALI ISIVYO HALALI (UFISADI)

• Wewe ni mtu wa pesa mbele kwanza
• Unashindwa kufanya maamuzi sahihi na hauna vipaumbele kwa kua unaagalia hela kwanza mpaka unaharibu kazi
• Unakosa mawasiliano mazuri na wenzako, unakua mtu wa siri sana kutokana na hiyo tabia yako ya kutamani au kupenda hela

4. KUSHINDWA KUJIZUIA NA KUKOSA UVUMULIVU NA SUBRA
• Kutokufuatilia mambo mpaka mwisho. Kila jambo lako linaishia njiani
• Kiongozi unakosa maono, hivyo wewe unaona karibu
• Kila siku au unabadilisha mipango mara kwa mara (hauna mipango thabiti)

5. KUTOKUA NA JUHUDI YA KUFANYA KAZI. UONGOZI WAKO UNAKUWA HAUNA MATOKEO
• Kiongozi Unakua mwongo mwongo na kutoa hadi zisizo tekelezeka
• Hauwazi mambo makubwa, wewe kila siku inashugulika na vitu vidigividogo
• Hauna msukumo na shauku ya kufanya kazi
• Unakosa ubunifu

6. WIVU
• Unakuwa Perfectionist, yaani kazi haiendi, kila siku wewe ni mtu wa kurekabisha. Haijiliakni unataka nini.
• Unalingasha vitu ambavyo haviusiani kabisa
• Haufurahiswi na maendeleo wa wenzako

7. CHUKI NA HASIRA ZA KARIBU
• Unawachukia watu wako bila sababu za msingi, pia unawagawa watu
• Unakua mlalamishi na kuhamishia lawama kwa wengine. Yaani wewe ndio uko sashihi siku zote
• Unaangalia mabaya tu ya wengine, hauoni jema kwa mtu mwingine yeyote

Photos 16/10/2019

29/08/2019

Namna unavyoweza kuwasaidia wengine kuwa viongozi wazuri
Ukitaka kuacha alama nzuri hapa duniani, ni muhimu ukalenga kuwasaidia wengine kuwa viongozi.
Kwanza jiridhishe kunagalia kwamba mtu huyu anatamani au anashauku ya kutaka kukua na kua kiongozi. Ili kuepuka kumsaidia mtu ambaye hayuko tayari, hakikisha kweli mtu huyu ana nia ya dhati. Kwamba, yuko tayari kufuata maelekezo na ana njaa ya kukua.
Ni muhimu sana kuangalia uwezo wao na polepole anza kuwajaribu kwa kuwapa kazi kwa lengo la kuwafundisha kazi. Ni muhimu sana kuwapa eneo ambapo wataanza kufanya kwa vitendo. Wewe kazi yako ni kuwa simamia na kuwanyoosha wanapo kosea. Maana katika maeneo wanayoshindwa na kuwapa changamoto hayo ndio huwapekea wao kujifunza Zaidi. Jisogeze kwao Zaidi ili waweze kujifunza kutoka kwenye uzoefu wako mpaka waweze kufanikisha kuweza kusimamia kazi zao wenyewe.

10/08/2017

Leadership Tips:
The simplest definition of leadership is influence. There can be no leadership without it, for anyone to follow, he or she must be influenced, one way or another.
Below are eight points:

1. They inspire. Whoever you inspire, you influence, and great leaders inspire countless, thereby winning over millions. We are drawn to those who encourage us, and repelled by those who discourage us; great leaders understand this and, therefore, master the art of capturing minds, moving hearts, and winning souls.
2. They win the trust of other people. By their words, charm, and deeds, they are able to win your confidence. Trust is crucial. Without it, no one can surrender to you completely, for if someone trusts you with all his mind, he is partially yours; if someone trusts you with all of his heart, he is reasonably yours; and if someone trusts you with all of his soul, he is completely yours.
3. They study their followers. They examine them and so understand them. They address their wants and needs. We all like someone who listens to us and makes us feel like he cares.
4. They believe in themselves. People follow people who believe in themselves, not people who doubt their capabilities. Those who doubt themselves indirectly remind us of our limitations, but those who believe in themselves confirm to us that nothing is impossible if you set your mind to it.
5. They are inclusive. No matter who you are, you feel like you can approach them. Even if you disagree with them, they embrace you.
6. Body language. This includes eye contact, gestures to articulate their messages, touches to put you at ease, smiles to make you comfortable, and tone of voice.
7. They prove themselves. They produce results. They deliver. They are driven to excellence. Because of this, their subordinates are willing to follow them anywhere, even to hell and back.
8. They make promises and deliver. Whether they make you a big promise or a small one, they fulfil it. If uncertain, they don’t promise you anything, and if certain, they do―but cautiously. Their integrity points to their reliability, and this inspires confidence.

By: Matshona Dhliwayo

08/08/2017

FAHAMU MBINU ANAZOZITUMIA SHETANI NA MAWAKALA WAKE KUDHOOFISHA WAKRISTO

1.Kutowaruhusu Wakristo kusoma Biblia.
2.Kuwafanya Wakristo wawe wavivu kuomba.
3.Kuwafanya Wakristo wasifunge na wapuuze maombi ya kufunga.
4.Kuwafanya/Kuwasukuma Wakristo wawe maskini ili wasitoe zaka na sadaka ili milango yao ya mbinguni isifunguke.(Malaki 3:8-10)
5.Kuwafanya Wakristo wasipendane.
6.Kuwafanya Wakristo watukanane na kudhalilishana hovyo.
7.Kuwafanya Wakristo wawe waongo na kuwaongezea maarifa ya kusema uongo.
8.Kuwafanya Wakristo wasahau kurudi kwa Yesu Kristo.
9.Kuwazuia Wakristo wasihubiri Injili ya Kristo na kupandikiza roho ya hofu na aibu.
10.Kuua ndoa za Wakristo na kuhakikisha zinakuwa na matatizo.
11.Kupandikiza roho ya kutokusamehe kwenye mioyo ya Wakristo.
12.Kuwafanya Wakristo wawe na matatizo makubwa sana na kuwapandikizia roho ya kuwashawishi watafute msaada kwa shetani na mawakala wake.
13.Kuchochea Laana kwenye maisha ya Wakristo.
Kuwasukuma Wakristo kufanya mambo yatakayosababisha laana kwenye maisha yao na kuzipa nguvu hizo laana ziendelee kutesa maisha yao na kutesa vizazi vyao.
14.Kuharibu chochote chema kwa Mkristo ili tu akate tamaa na kumfanya ahisi kuwa Yesu hana nguvu.
15.Kukupa ushauri mbaya.
Mara nyingine ana kuunganisha na watu wabaya watakaokupa ushauri mbaya wa kuangamiza maisha yako.
16.Shetani na mawakala wake wanakufanya uishi maisha yasiyo na kusudi
17.Kuwafanya Wakristo wahalalishe dhambi na kuifanya dhambi ionekane k**a ni kitu kidogo na chepesi tena cha kupuuzwa.
18.Kuwafanya Wakristo wapinge mafanikio kwenye baadhi ya mafundisho yao na kuwajengea msingi wa uongo eti ili uingie mbinguni ni lazima uwe masikini.
-Kuwafanya Wakristo wasahau ahadi za Mungu za utajiri (Hagai 2:8) na kuwafanya Wakristo wawainukie,wawabeze na kuwatukana wenzao wanapofanikiwa.
19.Kuwafanya Wakristo wapuuze vita vya kiroho na kuwafanya wapuuze maombi ya vita. Na hata wakiwaona Wakristo wenzao wanafanya maombi haya wadharau na waone kana kwamba wanapoteza muda.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

16 Samora Machel Avenue, P. O. Box 9080
Dar Es Salaam
11101

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00