Tumaini University Dsm

Tumaini University Dsm

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tumaini University Dsm, College & University, TUDARCo, coca cola Road, Dar es Salaam.

28/09/2020

TUDARCo MPAKA FIELD 🎬🎤
(Maisha ya Wanafunzi wa TUDARCo Wakiwa Field)

Kuanzia: 05 OCTOBA 2020

Kupitia IGTV ya na



(💻 Digital Media Coordinator - TUDARCo)

Repost from

16/11/2019

Anafahamika k**a Hakupewa nafasi ya kutoa burudani mbele ya mamia kwasababu yeye ndo anaweza kuliko wenzake. Alipewa nafasi kwasababu amekuwa akionyesha uthubutu wake katika nyakati mbalimbali huku akitambulisha kile kilichoko ndani yake pasipo kuogopa.

Kila mmoja anamfahamu k**a msichana mwenye vipaji kadhaa, watu hawajavifamu vipaji vyake kwa yeye kukaa ndani na kusema ana uwezo fulani, bali alitoka nje na kufanya kwa vitendo na ndipo wakavifahamu vilivyopo ndani yake.

Suala la umri, jinsia, elimu, kufahamiana na watu n.k hapa havihusiki, hapa tunaangalia uthubutu wake katika uwasilishaji wa vipaji vyake, ambao ulianza k**a mbegu ya mchicha na sasa inazidi kukomaa.

Hata wewe ambaye kila siku unasema unaweza kufanya kitu fulani ila unaogopa, unaona k**a hauna uwezo, unaona k**a hautasikilizwa n.k hebu anza kufanya bila kuogopa, anza kufanya huku ukiamini katika uwezo ulionao, amini kuwa wewe ni bora katika wale waliobora. Ukiona nafasi mahali ya wewe kuonyesha kipaji chako, usisite kuulizia nafasi ya wewe kushiriki. (🎬 )

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

TUDARCo, Coca Cola Road
Dar Es Salaam