04/12/2024
Niliteseka Sana Kurudisha Nguvu Zangu Za Kiume Hadi Nilipokutana Na Programu Ya Jengeka Kiumeā¦
Haikuwa rahisi Kurudisha heshima ambayo niliikosa kabisa k**a mwanaume kutokana na kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa ufanisi.
Kwani nilikuwa nikiwahi Kufika Kileleni na kushindwa kabisa kurudia tendo la ndoa kwa ufanisi .. yaani mpaka siku ipite ndipo niweze kupata hisia tena za kurudia tendo la ndoa.
Nilijaribu kutumia tiba na madawa mbalimbali ila niliishia kuambulia patupu yaani sikupata matokeo kabisa.
Ikafika hatua nikahisi labda huwa NGUVU ZA KIUME hazirudi tena ukisha ziharibu zenyewe na Mifumo yake, Kwani kwa upande wangu nilijichua sana wakati nipo shule kwa lengo la kukaa mbali na wanawake ili kutimiza ndoto zangu.
Ilinichukua Miaka 5 mpaka pale nilipokutana program ya JENGEKA KIUME ambayo ili nifundisha mbinu 5 muhimu na nyepesi ambazo niliweza kutumia nikiwa kwangu na huo ndio ulikuwa mwisho wa tatizo langu.
Ili kupata mbinu hizi 5 ambazo zilinisaidia mimi kuwa imara kitandani Tuma Neno Darasa Bure Kwenda
Na Utajifunza kupitia WhatsApp Group Bila Malipo yoyote yale(utajifunza BURE).
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/DTGJjOEw7pS8MF2rhbNMVo
26/09/2024
*ULAJI WA MATUNDA??*
*Matunda yanayoweza kusaidia kuimarisha afya ya misuli ya uume na mfumo wa uzazi kwa ujumla ni pamoja na:*
*Tikiti maji*
Lina citrulline, ambayo husaidia kuongeza mtiririko wa damu na kupunguza shinikizo la damu, hivyo kusaidia afya ya misuli ya uume.
*Ndizi*
Ndizi ina potasiamu, ambayo ni muhimu kwa afya ya moyo na mzunguko wa damu.
*Parachichi*
Lina vitamini E, ambayo ni muhimu kwa afya ya mfumo wa uzazi.
*Machungwa na Matunda ya jamii ya machungwa (Citrus fruits)*
Matunda haya yana vitamini C, ambayo ni muhimu kwa afya ya mishipa ya damu.
*Papai*
Lina vitamini C na A, ambazo ni muhimu kwa afya ya jumla ya mwili na mfumo wa uzazi.
Kula matunda haya mara kwa mara, pamoja na lishe yenye afya, mazoezi ya mara kwa mara, na mtindo wa maisha mzuri husaidia kuboresha afya ya misuli ya uume na mfumo wa uzazi kwa ujumla.
*ZINGATIA:*
*Matunda hayo, k**a vilivyo vyakula vingine vya muhimu vinavyohitajitaka mwili kwaajili ya afya njema katika mifumo yote, usitumie k**a dawa. Hayo siyo dawa, ni k**a vyakula unavyokula Kila siku, ambavyo unajua ni muhimu Kwa afya yako*
*Kwahiyo unatakiwa kula mara Kwa mara, Kwa kuchanganya aina tofauti tofauti za matunda hayo*
*Hata hivyo chanzo cha tatizo lako kikiondolewa ndipo utapona. Kula vizuri tu, siyo njia ya kutatua tatizo lako, itategemea chanzo cha tatizo lako k**a ambavyo nimekuwa nikisisitiza hapa*
*Kwa msaada wangu zaidi tumia namba 0719458975
26/09/2024
Fanya uchunguza wa kina Toka kwa Daktari kabla hujaanza kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume.
24/05/2024
"Jiunge Nami Katika Safari ya Kujali Afya na Furaha!"
Je, umewahi kufikiria jinsi mazoezi madogo madogo yanavyoweza kuleta mabadiliko makubwa maishani mwako?
Leo, napenda nikushirikishe sehemu ya safari yangu ya kujali afya na furaha.
Asubuhi hii, nimeamka na hamu ya kufanya mabadiliko.
Baada ya mazoezi ya kegel, nilijihisi mwenye nguvu zaidi na furaha tele.
Nikaandaa kifungua kinywa cha afya ili kuandaa mwanzo mzuri wa siku yangu!
Mayai mawili ya kuchemsha, tango moja, nyanya moja, na glass moja ya maziwa fresh - mchanganyiko kamili kwa mwanzo mzuri wa siku!
Nimegundua kuwa kujali afya yangu kunahusisha zaidi ya mwili wangu tu - ni kuhusu kujisikia imara na kuridhika katika kila hatua ninayochukua.
Na leo, ningependa kuhamasisha kila mmoja wetu kujipa kipaumbele katika safari ya kujali afya na furaha.
Hebu tufanye hili pamoja! Niambie katika maoni yako: Je, ni mazoezi gani madogo madogo unayofanya kila siku kujali afya yako?
Pamoja, tunaweza kuhamasisha na kusaidiana katika kufikia malengo yetu ya afya na furaha!
Tuma ujumbe kwenye Whatsapp namba 0719458975 kwa ushauri zaidi
23/05/2024
KITAMBI CHA WANGA:
Swali ambalo nimekuwa nikiulizwa na watu wengi nikuhusu kitambi Cha WANGA ,Yawezekana nawe ni Mmoja ya Wenye kujiuliza swali hili.
KITAMBI Cha WANGA ni mpasuko wa msingi wa Afya yako ,Mpasuko huu huanza kuibua maradhi mbalimbali yanayokuja kwa mfuatano, Kitambi Cha WANGA hutokana na ongezeko la mafuta ya ziada mwilini, Mafuta hayo kiafya siyo sehemu ya mwili.
Unapoamua kuyafanya kuwa sehemu ya mwili yakidumu kwa mda mrefu huibua magonjwa sugu k**a.
1.Presha ya kupanda.
2.Maumivu ya viungo (Joints)
3.Maumivu ya mgongo.
4.Miguu Kuwaka moto
5.Ukosefu wa nguvu za kiume ( Kukosa hamu ya tendo la ndoa na kutohimili vizuri)
6.Kisukari
7.Bawasili( kuota kinyama sehemu ya haja kubwa)
8.Kukosa choo kubwa.
9.Maumivu ya kichwa na Kukosa usingizi.
Wengi wao wanashindwa kuchukua hatua ya kutatua tatizo hili kwakuwa na Imani iliyojengeka vichwani mwao kwamba kitambi ni
A.Wembamba au kilo ndogo ni ishara ya kuwa na Afya njema na uzingativu mzuri wa lishe. *Hii ni fikra potofu*
B.Mwili unamahitaji makubwa ya sukari ili upate nguvu na joto *Hii ni fikra potofu*
C.Ukila kidogo na mazoezi hupunguza kitambi *Hii ni fikra potofu*
D.VYakula vya Mafuta hurundikana mwilini k**a Mafuta* Hii ni fikra potofu*
Habari njema ni kwamba ipo njia sahihi na salama inayoweza kukusaidia kupunguza kitambi bila ya kufanya mazoezi,Bila kujinyima kula,Bila kufanyiwa upasuaji na kubadilisha mfumo sahihi wa Kila siku pamoja na saikolojia ya ubongo wako .
Kupata mafunzo na SULUHISHO Tumeandaa group la Whatsapp kwaajili ya wewe pamoja na wengine ambalo tutafundisha hatua kwa hatua na kuuliza swali lolote lililokuwa likikutatiza.
Kujiunga na mafunzo haya Bonyeza link hapa chini kabla ya group Letu halijajaa
Tuma ujumbe kwenye namba 0766959971 Whatsapp
Ili uweze kupata muongozo zaidi namna Gani unaweza kuweka Afya yako sawa.
1.pr
23/05/2024
MAMBO 10 YANAYOSABABISHA UZITO MKUBWA, USIOKUBALIKA KIAFYA.
1 Wanga kwa wingi hasa iliyokoborewa
2 Sukari nyingi hasa ya viwandani
3 Mafuta mengi hasa katika vyakula k**a chips, mandaz, nyama
4 Kutokunywa maji ya kutosha
5 Kutokufanya mazoezi
6 Utumiaji wa Dawa za kuzuia mimba kwa muda mrefu
7 Kukaa kwa muda mrefu
8 Mfadhaiko au stress
9 Free radicals au ongezeko la sumu mwilini
10 Kutokula mbogamboga na matunda kwa wingi.
MADHARA YA KITAMBI NA UZITO ULIOPITILIZA NA ONGEZEKO LA VIFO VINAVYOTOKANA NA CHANGAMOTO HIZO.
Zamani ilikuwa ukiwa na kitambi au mnene unaonekana tajiri wa pesa, lakini siku hizi ukiwa na kitambi unaonekana kuwa tajiri wa Magonjwa anayeiandaa safari ya kwenda kujenga urafiki na hospitali kubwa kubwa kwa kutumia gharama kubwa mno ambazo zitamtia umaskini wa kudumu. Matatizo ya Cholesterol, presha BP, kisukari, vidonda vya tumbo, ini, figo, kansa, matatizo ya uzazi, upungufu nguvu za Kiume na stroke hapo kwenye watu wenye uzito mkubwa na vitambi ni mahali pake.
Magonjwa mengi yanayoshambulia waafrika yanatokana na lifestyle mbaya ya ulaji wa vyakula tunavyotumia. wengi wanafikiri kufanya mazoezi na kushinda njaa kutawafanya wapungue kumbe sio kweli. Hauwezi kupungua k**a haujaziondoa kemikalli mwilini ambazo zinaulazimisha mwili wako kuhifadhi mafuta.
Wanawake wengi nao sku hizi wanavitambi ambavyo vinaleta shepu mbaya na kupoteza mvuto wote hata k**a wakivaa nguo mpya bado wanaonekana wazee. Wanaume wengi hawavutiwi na mwanamke mwenye Tumbo kubwa, pia hawavutiwi na mwanamke mnene sababu hawana shepu nzuri. Wanawake wengi hupata vitambi baada ya kujifua mtoto, mafuta huifadhiwa kwenye leya ya maeneo ya tumbo. Pia vitambi vingine hutokana na ulaji wa chips, vyakula vya wanga kwa wingi na unywaji wa bia. Wengi wao Hawajui gharama inayowanyemelea ya kupoteza pesa nyingi kwenye mahospitali.
Fikiria umefanya kazi na umepata pesa nyingi ambazo zitaishia kuhangaikia kuyatibu magonjwa sugu uliyoyatafuta kwa starehe zako za sasa.
NJIA KUU ZA KUPUNGUZA UZITO
NI PAMOJA NA
-Lishe bora
-Kufanya mazoezi
-Kunywa maji ya kutosha
-Kuongeza aman na furaha katika maisha (kupunguza mfadhaiko)
Hii ni njia asilia kabisa toka kuumbwa kwa ulimwengu.
NJIA MBADALA TAYARI UZITO WAKO SIO RAFIKI NA UMESHAANGAIKA MDA MLEFU EIDHA
*Miguu inauma
*mapigo ya moyo yanaenda mbio
*Huwezi kufanya mazoezi sababu mwili hauna balance
*Upo busy na majukumu ya kimaisha
*Umekata tamaa kwamba Huwezi kupunguza.
*Vichomi katika mwili
Tumekuandalia Program hizi mbili zitakazo kusaidia katika mambo haya
1.Kusafisha mwili au Cleansing
2.Kuratibu hamu ya kula mongozo na mwongozo nini ule
kuruhusu mafuta yaliyohifadhiwa kutumika k**a nishati
3.Kupunguza mafuta yaliyozidi
4.Kuondosha takamwili na uchafu katika utumbo mpana pamoja na kusaidia ngozi kutoa sumu
5. Kukupa utaratibu mzuri wa kula, kunywa maji na kufanya mazoezi angalau dakika 30 kwa siku.
6.Kupunguza kasi ya kuzeeka kwa sababu ya uzito mkubwa au kitambi
Ili uweze kupata muongozo zaidi namna Gani ya kuondokana na changamoto hii Tafadhari Tuma ujumbe wa Whatsapp kwenda namba 0766959971