27/09/2023
๐LEO NDY NIMEIPATA HAPA NI WAP YANGU YA MWXHO AMBAYO NTAKUJA KUMULIZA LECTURE WANG....!๐คฃ
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Phatxum, Education, Dar es Salaam.
27/09/2023
๐LEO NDY NIMEIPATA HAPA NI WAP YANGU YA MWXHO AMBAYO NTAKUJA KUMULIZA LECTURE WANG....!๐คฃ
27/09/2023
SASA HUYUU NDIYE PISI YANGU KWA SASA NA NAIPENDA MNO MNO MNO ....๐......... my mom guyz.๐
27/09/2023
Hapo kuna kijana wa CCP na kuna TANZ-BAT bas hapo duuh n balaa zitoooo๐คฃ
27/09/2023
Bado majeshi ya mpakani yanaendeleza kaz yake mahiri ya ulinz ...na mungu kwa nguvu zako jalia hili...!
17/08/2023
Pata mapochi mazuri kwa bei nzuri sana...karibu sana ili upate iliyo bora kwako na nzur ...
Karibuni sana wateja.
04/08/2023
Just an emagnation ๐ค
04/08/2023
Ilikuwa siku kubwa yenye furaha sana viwanja vya buza kwa mzee benedct antony ....pakiwa na shamrashara ya mdg wang kipenz kanuti kupokea komonio yake ya kwanza
akubariki sana mdgwang k-nut ishi vyema na hasa kwenye msingi ya dini ameen...!
19/07/2023
Smyl tu ndy zinasukuma masiku yasonge mbele ...kila la kher guyz wang wa 830 kbt
One love...!
12/07/2023
Wazo la Leo n kuhakikixha kuwa wazaz wetu c wao tu ndy wanawajbu tu wa kutafuta pesa nyumbn bali hata cc vijana tunaweza kusupprt na wakaona nguvu zetu..
11/07/2023
KUJITENGA KWAKO NDY CHANZO CHA KUJIPUNGUZIA MARAFIKI SPECIALLY KWENYE CARRIER YAKO YA MAFANIKIO...!
11/07/2023
MAISHA NI MATAMU ONCE UNAPOITAJI HITAJIO LA MOYO WAKO. M NAAMN HAKUNA UGUMU WA MAISHA K**A UNAPATA KILE UNACHOKIPATA AT A TIME...๐
22/03/2023
It is amazing what you can accomplish if you do not care who gets the credit.
-Harry S. Truman