Swahili Lovers Worldwide

Swahili Lovers Worldwide

Share

Certified Swahili Teachers
Native Swahili Speakers �
Advocating Swahili Culture to the globe

01/01/2026

24/04/2025

Habari njema!

Mwanafunzi wangu wa Kiswahili kutoka Ubelgiji🇧🇪 atafanya warsha ya dansi ya Balfolk kesho ijumaa 25/04/2025 pale Alliance Francaise karibu na hospitali ya Agakhani kuanzia saa 2 usiku.

Karibuni sana HAKUNA KIINGILIO!

Jisajiri sasa kupitia [email protected]


04/03/2025
Photos from Swahili Lovers Worldwide's post 23/02/2025

Ulikuwa wakati mzuri sana kukutana na mwanafunzi wangu kutoka Ujerumani🇩🇪 mwisho wa wiki hii Arusha. Hongera sana kwa kuwa mwanafunzi mzuri wa Kiswahili, ninajivunia wewe//

I had a great time meeting my Swahili student from German🇩🇪 over this weekend in Arusha. Congratulations Julia, for being a good Swahili student. I'm very proud of you👏


03/02/2025

Habari!

Check out our DAY 2 words

03/02/2025

Habari!

Our today words are KULA, LALA and AMKA
Check out the video for more details


22/01/2025

Habari!

Kuwa tayari kujifunza na mimi maneno matatu kila siku kuanzia tarehe 01 February//

Get ready to learn with me 3 words every day from 01st February.


Photos from Swahili Lovers Worldwide's post 21/01/2025

Habari!

Flashcard za jumanne ziko tayari. Karibu tusome pamoja! //

Our Tuesday flashcards are ready. Let's learn together!


18/01/2025

Tunajifunza pamoja, tunafurahia utamaduni pamoja//

Let's learn together and enjoy the swahili culture.


Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address

Dar Es Salaam