20/04/2025
Ugonjwa wa kisukari (diabetes) ni hali ambapo kiwango cha sukari (glucose) kwenye damu huwa juu kupita kawaida kwa muda mrefu. Ikiwa hautadhibitiwa vizuri, kisukari kinaweza kusababisha madhara mbalimbali kwa mwili mzima, hasa kwa viungo muhimu. Madhara hayo ni pamoja na:
1. Madhara kwa macho
Kupoteza uwezo wa kuona (upofu) kutokana na retinopathy.
Maambukizi au shinikizo la macho (glaucoma na cataracts).
2. Madhara kwa figo
Kushindwa kwa figo kutokana na diabetic nephropathy, hali inayoweza kuhitaji dialysis au upandikizaji wa figo.
3. Madhara kwa mishipa ya fahamu (neuropathy)
Maumivu, ganzi au kuwaka moto kwenye mikono na miguu.
Kupoteza hisia (hii huongeza hatari ya majeraha au vidonda visivyopona, hasa kwenye miguu).
4. Madhara kwa moyo na mishipa ya damu
Kuongezeka kwa hatari ya kifua kikuu (heart attack), kiharusi (stroke), na shinikizo la damu.
Matatizo ya mzunguko wa damu, hasa kwenye miguu.
5. Vidonda vya miguu (diabetic foot ulcers)
Vidonda vigumu kupona, ambavyo vikizidi huweza kupelekea kupoteza mguu kwa kukatwa (amputation).
6. Matatizo ya ngozi
Ngozi kuwa kavu, kupata fangasi au maambukizi ya bakteria kirahisi.
7. Tatizo la nguvu za kiume (erectile dysfunction)
Kisukari huathiri mishipa ya fahamu na damu, hali inayoweza kuathiri uwezo wa tendo la ndoa kwa wanaume.
8. Maambukizi ya mara kwa mara
Hasa ya mkojo, ngozi, na sehemu za siri.
K**a unakumbana na changamoto hii njoo WhatsApp au piga +25543381998
Gharama ya dose ni 420,000/=
25/02/2025
*UVIMBE KATIKA KIZAZI (UTERINE FIBROIDS)*
➡️Ni uvimbe usio wa saratani unaojitokeza kwenye mji wa mimba mara nyingi wakati wa miaka ya uzazi. Fibroidi za uterasi hazihusiani na ongezeko la hatari ya saratani ya uterasi na karibu hazibadiliki kuwa saratani.
➡️Uterine fibroids zinatofautiana kwa ukubwa, kutoka kwa vijisehemu vidogo visivyoonekana kwa macho hadi uvimbe mkubwa unaoweza kupotosha na kupanua uterasi. Unaweza kuwa na fibroidi moja au nyingi. Katika hali za kipekee, fibroidi nyingi zinaweza kupanua uterasi kiasi cha kufika kwenye mbavu na kuongeza uzito.
*Dalili za Uvimbe katika kizazi (Uterine fibroids) ni pamoja na:-*
- Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi
- Hedhi inayochukua zaidi ya wiki moja
- Shinikizo au maumivu ya nyonga
- Kukojoa mara kwa mara
- Ugumu wa kuondoa mkojo
- Kukosa choo
- Maumivu ya mgongo au miguu
Bei 150,000/= dose
Mawasiliano 0652903312.
06/01/2025
*BIDHAA ZINAZOENDA KUBORESHA AFYA YA MIFUPA NA MAUNGIO*
⏩ Hutibu kabisa changamoto za nyonga hasa kwa magonjwa ya utu uzima na kuondoa uchovu
⏩Huboresha viungo na kuponesha sehemu zilizoumia kwenye viungo
⏩Huondoa maumivu ya ugonjwa wa mifupa (osteoarthritis) na chakavu wa mifupa
⏩Huimarisha mpishano mzuri wa mifupa kwenye viungo wakati wa kutembea
⏩Huongeza virutubisho mhimu kwenye mifupa na viungo
⏩Husaidia kulainisha sehem za viungo
kwa sababu ya uwepo wa chondroitin
⏩Husaidia kumarisha tissue na misuli inayounganisha mfupa na mfupa
⏩Husaidia kuzalisha ute ute kwenye maungio (synovial fluid)
⏩Husaidia kabisaa kuzuia ugonjwa wa mifupa na viungo (osteoarthritis)
⏩Huwasaidia zaidi wazee kuwa king a magonjwa ya viungo na mifupa kwa kuwapatia virutubisho mhimu
⏩Husaidia kupona haraka kwa cartilage zilizo athirika
⏩ Inaboresha gwegweju (Cartilage metabolism) na kuzuia kusagana kwa mifupa.
⏩Ni nzuri kwa wenye maumivu ya kiuno, viungo na shingo
*NB:Kumbuka hizi ni bidhaa za afya zisizokuwa na kemikali kabisa*
Mawasiliano 0652903312
Bei 250,000/=
06/01/2025
*UGONJWA WA KISUKARI (DIABETES MELLITUS)*
➡️Ni kundi la magonjwa yanayoathiri jinsi mwili wako unavyotumia sukari ya damu (glucose). Glucose ni muhimu kwa afya yako kwa sababu ni chanzo kikuu cha nishati kwa seli zinazounda misuli na tishu zako, na pia ni chanzo kikuu cha nishati kwa ubongo wako.
➡️Ikiwa una Kisukari, haijalishi ni aina gani, ina maana kuwa una kiwango kikubwa cha glucose kwenye damu yako, ingawa sababu zinaweza kutofautiana. Kiwango kikubwa cha glucose kinaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya.
*Baadhi ya dalili za Kisukari ni:-*
- Kuhisi kiu sana
- Kukojoa mara kwa mara
- Njaa kali
- Kupungua uzito bila sababu
- Uwepo wa ketoni kwenye mkojo (ketoni ni mabaki ya kuvunjwa kwa misuli na mafuta wakati insulin haitoshi)
- Uchovu
- Hasira au kuwashwa
- Kutoona vizuri
- Vidonda vinavyopona polepole
- Maambukizi ya mara kwa mara, k**a maambukizi ya fizi, ngozi, na uke
Mawasiliano 0652903312.
Gharama ya dose 900,000/=
30/12/2024
X POWER MAN COFFEE
Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;
1. Fresh maca*
2. Ginseng powder*
3. Tongkat ali*
4. Epimedium*
Viambata hivi vimetoka nchi za
KOREA,CHINA,USA,INDIA,PERU
⚫FAIDA ZA KUTUMIA X POWER MAN COFFEE BFSUMA
♂️Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.
♂️Kuupa mwili Nguvu zaidi
♂️Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.
♂️Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.
♂️Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.
♂️Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume
♂️Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari
♂️Kusafisha mishipa ya damu
♂️Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi
**********+√SHARE KWENYE MAGROUP MBALIMBALI Kuweza KUWASAIDIA WAHANGA WENYE CHANGAMOTO HIZO👆
WhatsApp/Call and Msg 0652903312
Kwa wakazi wa mbeya ofisi zipo mwanjelwa stand.
13/10/2024
Afya Yangu
Gidion Afya official page