Mbinu Bora Za Ufugaji

Mbinu Bora Za Ufugaji

Share

Tunawasaidia wafugaji wa kuku kuwapa mbinu za ufugaji ili wapate kuku na mayai bora

16/10/2024

Karibu kwenye ukurasa wetu

15/10/2024

𝙒𝙀𝙆𝘼 𝙉𝘼𝙈𝘽𝘼 𝙔𝘼𝙆𝙊 𝙔𝘼 𝙒𝘼𝙏𝙎𝘼𝙋 𝙉𝙄𝙆𝙐𝙏𝙐𝙈𝙄𝙀 𝙑𝙄𝙏𝘼𝘽𝙐 𝙑𝙔𝘼𝙆𝙊 𝙆𝙒𝘼𝙉𝙕 𝙉𝘿𝙄𝙊 𝙐𝙁𝘼𝙉𝙔𝙀 𝙈𝘼𝙇𝙄𝙋𝙊 👏👏

👇👇👇👇
1.➖Kitabu cha ujenzi WA banda

2. ➖Kitabu magonjwa ya kuku

3.➖Kitabu Cha tiba Za magonjwa ya kuku

4.➖Kitabu Cha Aina Za chanjo Kwa kuku

5.➖Kitabu Cha utengenezaji WA vyakula vya Kuku nyumbani

6.➖Kitabu Cha Aina Za vyakula vya kuku

7.➖Kitabu Cha utunzaji WA Banda la kuku

8-kitabu Cha utunzaji WA vifaranga Na mayai
Na mengine mengi

➖ Kila kitabu ni sh3000 tu

➖Ukihitaji Vitabu vyote Utapatiwa kwa Ofa ya sh Elfu 6000 tu 👏👏👏

➖ HATUNA UTAPELI
👇👇👇
➖Tunakutumia Vitabu vyako kwanza ndio Unafanya Malipo 👏👏

➖Tunakutumia Vitabu vyako Whasap

(NI RAHISI SANA KUPATA VITABU VYAKO)

➖Nakutumia Vitabu vyako Whasap mamy na utajisomea kwenye simu yako kwa muda wowote unaotaka bila ya kutumia bando ni kitendo cha kudownload mara moja

➖Ofa hii ni Kwa watu 20 WA mwanzo

➖Kitabu ni Softcopy

➖LUGHA YA VITABU : KISWAHILI

➖Nahitaji Wateja Serious tu ambao wanahitaji Naomba Uguse linki hapa chini itakuleta Whatsapp 👇🏾👇🏾
https://wa.me/message/KU4253MNZMZXL1

15/10/2024

MAMBO 6 YA KUFANYA KUKU WAKO WATAGE MAYAI MENGI

1. HAKIKISHA CHAKULA CHA KUKU WAKO KINA MCHANGANYIKO WA VITU HIVI VI 5
●MADINI👉 Kazi ya madini ambayo ni CALCIUM ni kuimarisha Mifupa, Mfumo wa fahamu, Uzazi, Kutengeneza ganda la yai na Inatumika kulisukuma yai na vyanzo vya CALCIUM ni Chokaa, Mifupa, Dcp na Dagaa.
●WANGA👉 Kazi ya wanga ni kutia nguvu mwili na vyanzo vya wanga ni Pumba za Mahindi, Ngano au Mtama.
●MAFUTA👉 Kazi ya mafuta ni kutia nguvu na joto mwilini vyanzo vya mafuta ni Mashudu ya alizeti, Pamba au Karanga.
●PROTINI👉 Kazi ya protini ni kujenga na kukarabati mwili na vyanzo vyake ni Damu iliyo kaushwa, Unga wa soya, Mchwa na Dagaa.
●VITAMIN👉 Kazi ya vitamin ni kuulinda mwili dhidi ya magonjwa k**a vile kuvimba macho na mengineyo vyanzo vya. vitamin ni majani ya Mipapai na Mchicha.

2. WAPATE MASAA YA MWANGA YA KUTOSHA (LIGHTING)👇
Mwanga husisimua pituitary gland kwenye kuku ili kuchochea uzalishaji mwingi wa mayai, mtiririko mzuri wa utagaji wa mayai kuku huhitaji masaa 16 hadi 26. Kwa mfano kuna baadhi ya majira ya mwaka ambapo jua huwahi kuzama na kuchelewa kuchomoza hivyo husababisha masaa ya mwanga kuwa machache kwa siku hivyo huathiri uzalishaji wa mayai kwa % kubwa ndiyo sababu ya kuku wengi kuruka siku 1 au 2 yaani kutotaga kila siku.

SULUHISHO LA TATIZO LA KUPUNGUA KWA MASAA YA MWANGA👆
Unaweza kuwa wekea taa za umeme (ARTIFICIAL LIGHT) ndani ya banda lako la kuku na uziwashe baada ya giza tu kuingia kwa masaa mawili hadi ma 3 hii itaongeza utagaji wa kuku wako kwa 20% hadi 35%. Hii inaonyesha jinsi gani mwanga ni wa muhimu sana kwa kuku watagaji.

3. HAKIKISHA BANDA LAKO NI SAFI MUDA WOTE👇
Ili kusiwe na wadudu k**a Utitiri, Chawa na Viroboto maana wadudu hawa huwasumbua sana kuku huwafanya wapunguze kutaga kwa % kubwa, maana huwanyonya damu. Hivyo uwe unawanyunyuzia dawa ya akher powder ndani ya manyoya na bandani mara kwa mara.

4. Wapatie maji ya kutosha na uwe unasafisha vyombo vya maji kila siku kwa sabuni ili kuzuia magonjwa nyemelezi yatokanayo na uchafu .

5. Wachunguze mara kwa mara k**a wana dalili za kuumwa na endapo k**a dalili zipo watibu mara 1.

6. Wawe na sehemu ya wazi ya kuzunguka zunguka na kuparua parua.

NOTE: Wakati mwingine inadhaniwa kuwa jogoo anaweza kufanya tetea atage mayai mengi. Hakuna kitu k**a hicho. Kazi ya jogoo ni 1 tu, kurutubisha tu mayai yaweze kutotolewa. K**a kuku wako anataga mayai machache ukaona umwongezee jogoo hata taga kabisa maana wakiwa majogoo wengi watamsumbua tetea na kumpa stress. Inatakiwa jogoo 1 kwa tetea 5 - 7 kulingana na ufugaji wako, K**a ni ndani tu, nusu huria na huria.

Photos from Mbinu Bora Za Ufugaji's post 15/10/2024

NIFANYE NINI NAINGIZA VIFARANGA WADOGO LEO, !

▶️SIKU YA KWANZA
WAPE DAWA IZI
FLUBAN
NEWCHICK FORMULA
GLUCOSE,

▶️SIKU YA 2 MPAKA SIKU YA 5
WAPATIE DAWA IZI,
NEWCHICK FORMULA
GLUCOSE,

▶️SIKU YA 6 MAJI MATUPU,

▶️SIKU YA SABA WAPATIE CHANJO YA MDONDO, (NEWCASTLE)

▶️SIKU YA 8 MPAKA YA 12,
WAPATIE VITAMINI MOJAWAPO

ETROVIT
AMINTOTAL

▶️SIKU YA 13 MAJI MATUPU,

▶️SIKU YA 14 WAPATIE CHANJO YA GOMBORO,

▶️SIKU YA 15 MPAKA 19 WAPATIE VITAMINI TATWA KWENYE MONGOZO HUU,

▶️SIKU YA 20 MAJI MATUPU,

▶️SIKU YA 21 RUDIA CHANJO YA MDONDO (NEWCASTLE)

▶️SIKU YA 22 MPAKA 26
WAPE VITAMIN,

▶️SIKU YA 27 MAJI MATUPU,

▶️SIKU YA 28 WARUDIE CHANJO YA GOMBORO,

▶️SIKU YA 29 MPAKA YA 33 WAPE COSB3 AMA ANT COX,

▶️ SIKU YA 34 MAJI MATUPU,

▶️SIKU YA 35
WACHOME CHANJO YA NDUI KUKU WAKO IKIWA, HAWAJAIPATA DALILI YOYOTE, NA K**A WANA DALILI WASILIANA NA DACTARI WA MIFUGO KARIBU YAKO,

▶️SIKU YA 36 MPAKA 40
WAPATIE OTC 50

▶️SIKU Y 41 WAPE MAJI ,

▶️SIKU YA 42 DAWA YA MINYOO,
BAADA YA HAPO SIKU 14 UTARUDIA TENA DAWA YA MINYOO,

▶️NI MATUMAINI YANGU UMEFANIKIWA KUWAKUZA, VIFARNGA

▶️ NAKUSISITIZA CHANJO ZOTE TAJWA USIWAPE KUKU WAKIWA WAGONJWA

*NB: TUSISAHAU KUMUOMBA MUNGU KWENYE MIPANGO YETU*

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Vikindu
Dar Es Salaam