01/05/2026
Kongamano la Uimbaji,
Jimbo la Mashariki makanisa ya PHM.
Sound by
Confident choice
WISE Sound tupo wa kukupatia huduma bora za Muziki na MC katika matukio mbalimbali ya kijamii, mikutano ya hadhara n.k. KWA NINI SISI?
Ikiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 11, Wise Sound ni chaguo bora na la kuaminika zaidi WISE SOUND
Wise Sound ni kampuni yako kwa ajili ya matukio yote yanayohitaji huduma ya ukuzaji wa sauti, nyimbo na burudani kwa ubora wa hali ya juu. Ni kampuni pekee kwa ajili ya matukio yote ya Harusi, Sendoff, kitchen party, ubarikio, mikutano, vikao, makongamano na hata misiba inayousisha nyimbo za kikristo n
01/05/2026
Kongamano la Uimbaji,
Jimbo la Mashariki makanisa ya PHM.
Sound by
Confident choice
25/04/2026
Young Professionals Gathering
2026.
THY KINGDOM COME
Serving God and People.
Hosted by
PURPOSE DISCOVERY
Sound by
Wisesoundtz
Confident choice
14/04/2026
Wedding Party
Patience & Lightness
Confident Choice
Mc Kamukulu
31/03/2026
Siku 7 za Mkutano wa Injili Kibiti - Pwani na Casfeta Tayomi Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
12/12/2025
Dj tunaye na tunatamba naye,,,,🏃💯🎧💻
Kwa shughuli mbalimbali kwa mahitaji ya mziki/sound
Hit us on Instagram and Facebook
☎️📠 0777 701 702
03/12/2025
24/11/2025
Book Launch
"Set me on Fire" 🔥
By Advocate Patrick Seuya
Sound by
Tupo kukuhudumia
14/11/2025
Wakati wa maandalizi ya party,,,,,,
Ni party after party
Combination ya Dj, Mc na Sound Engineer
10/11/2025
Wedding Party
Usiku wa Emmanuel & Rose 🌹.